A
Anonymous
Guest
Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu.
Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo?
Tunaomba mamlaka husika zilishughulikie suala hili na kutulipa fedha zetu za kujikimu kwa wakati, kwani ni haki yetu. Asanteni.