A
Anonymous
Guest
Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana.
Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa michezo kwenda kucheza michezo ya kirafiki huko Lindi akiwemo na yeye.
Anafanya hayo huku watu tunalia njaa, hii inafanya Watumishi kutotoa huduma nzuri kwa wananchi, tunaomba mamlaka ingilie kati matumizi ya ofisi kwa Mkurugenzi.