Watumishi wa Mungu wamekuwa wakame rohoni sasa makanisani wanafundisha falsafa za kidunia, Falsafa ambazo unaweza kuzipata popote

A Aisee!
 
Wakihubiri habari za wokovu na uzima wa milele mnawasema wachungaji wamepitwa na wakati na hata kanisani hamuendi, wakihubiri mambo mnayopenda kusikia mnasema wachungaji wamekengeuka kwani binadamu mnatakaje ninyi? mihemko na unafiki tu.
Nakazia hapo...Wachungaji Wakifanya miujiza na ishara mnasema Miujiza fake hichi kizazi Cha Instagram hata ufanye nini watakukosoa tu
 
Waefeso 2:20-22

Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.

Umenena Vyema Mkuu
 
Ni kweli makanisa yamejisahau, hayakemei dhambi tena.

Yanachotaka ni sadaka tu bila kutaka kujua imetoka wapi, iwe imetokana na umalaya, ujambazi n.k

Makanisa hayana Aibu tena wala hofu ya Mungu
 
Nyakati za mwisho,matetemeko,njaa,vita kila mahali,mabadiliko ya tabia Nchi!Muyaonapo hayo shangilieni huku mkijua saa ya hukumu ipo karibu!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Acha ujinga wewe....hamna mda katika historia ambapo hivi vitu havipo...so dunia ingeishaga mda tu...kuwa na akili na wewe bac...eti njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…