Watumishi wa Serikali daima ni wahanga wa wanasiasa

Naona kila jumba bovu mnamtumia mwendazake....

Kama vipi si umfuate huko aliko ukamalizane nae?

Huwezi kuwatetea wezi wa mali na kodi za maskini eti kisa utawala bora.......

Je huo utawala bora unaruhusu ukwapuaji na kujitajirisha kwa njia zisizo halali?

Wenzetu nchi zingine wanasoma sheria ili ziwasaidie wao na jamii zao.

Tofauti na Tanzania ambapo vijana wanasoma ili waje kuwa wezi wa kodi za wazazi wao.

Mwanasheria anafanya ubia na Polisi ili kumkamua mteja wake au kuutumia mwanya wa uwakili na kujimilikisha mali za mteja.

Mifano ni mingi na huo wa Geita ni mmojawapo.

Kwanza tujiulize...mkurugenzi wa halmashauri ana umuhimu gani na wa kipekee wa kumfanya astahili hizo staha za bei ghari namna hiyo?

Wizi mtupu!
 
Asee!
 
Shit! Azuiye kwani Mbunge ni mjumbe wa tenda board? We vipi? Kama hujui serikali inavyoendeshwa jisomee badala ya kushinda JF.
Mpuuzi wewe, mbunge ni mjumbe wa baraza la madiwani anaingia kwenye kamati ya fedha direct kwa nafasi yake, manunuzi makubwa yoyote hayawezi kufanyika bila idhini ya kamati ya fedha.
 
Naonga mkono hoja ya huyu jamaa. Mbunge hushiriki kwenye vikao vyote vya baraza la madiwani ambao husimamia budget na manunuzi ya halmashauri zote nchini. Kitendo cha mbunge kusimama mbele ya Rias au Waziri mkuu Mkurugenzi kafanya hivi kafanya vile sio kitendo cha kiungwana. Pia viongozi wa Juu inabidi wawakaripie wabunge wa namna hii . Kujifanya wao sio sehemu ya uozo huo kwa kutoa lawama mbele ya viongozi.
 
Ttzo ni wafanyakazi wenyewe pamoja na vyama vya wafanyakazi tena vyama na viongozi wa wafanyakazi ni ttzo kulko wafanyakaz wenyewe
 
Tenda za halmashauri zinapitishwa na madiwani hao hao, sioni kama ni haki kwao kuwasukumizia lawama watumishi wa umma ambao wao ni watekelezaji tuwa maamuzi ya vikao vya madiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…