Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 807
Nikushauri kitu mkuu? Acha kazi!Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Mkuu kama wife hana kazi mtafutie kitu cha kuingiza chochote. Mimi nina take home ya 1.7 ila kila siku nashinda kwenye uzi wa mshahara! Mwezi ujao maza wife atafungua kiduka mixer mpesa etc.Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Hapana siwezi kuacha kazi nimeitafuta muda mrefu sana.Nakushauri kitu mkuu? Acha kazi!
Punguza matumizi yasiyo na lazima kwanza mkuu, kaa na daftari na peni kabisa--- then upate kusave hata 150k kwa mwezi-- wife nae ni muda muafaka wa kuanza biashara ndogondogo hapo nyumbani. Ubaya ubwelaHabari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Kwamba analeta utani jukwaani?🤣Nakushauri kitu mkuu? Acha kazi!
Na hii ndio ideas yangu.Mkuu kama wife hana kazi mtafutie kitu cha kuingiza chochote. Mimi nina take home ya 1.7 ila kila siku nashinda kwenye uzi wa mshahara! Mwezi ujao maza wife atafungua kiduka mixer mpesa etc.
Asante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwaPunguza matumizi yasiyo na lazima kwanza mkuu, kaa na daftari na peni kabisa--- then upate kusave hata 150k kwa mwezi-- wife nae ni muda muafaka wa kuanza biashara ndogondogo hapo nyumbani. Ubaya ubwela
Utani upi wakuumKwamba analeta utani jukwaani?🤣
Pole weka mipango utatoboa, bila shaka haupo kwenye hili jiji letuNa hii ndio ideas yangu.
Ila kichwa kinawaka moto mshahara haukai maana Kila siku mshahara unaishia kwenye chakula tu na expensive nyingine Nina kitanda na godoro pekee mpaka Sasa
Sasa mwanzo ulisurvive vipi bila mshahara --sasa hivi hela inaingia uanze pagawa--- hapo piga mwendo wa kijeshi tu mwaka --- ishi kama hujapata kazi. Mjomba kameza shoka kijijini na wewe unaungana na kundi la wasio na hela mkuu, fanya huu ujasiri mwaka mmoja tu mambo yataenda yenye-- hiyo nyumba ya laki kwa mwezi 👀 mbona mapema sanaHapana siwezi kuacha kazi nimeitafuta muda mrefu sana.
Nina familia
Umeongea fact kabisaPunguza matumizi yasiyo na lazima kwanza mkuu, kaa na daftari na peni kabisa--- then upate kusave hata 150k kwa mwezi-- wife nae ni muda muafaka wa kuanza biashara ndogondogo hapo nyumbani. Ubaya ubwela
Nikapata mshahara nanunua chakula kama 150 hapo nimeweka gas,Michele,unga,mafuta,mkaa.Mshahara huo na dharura na laki nanusu mna mifugo kma Kodi unalipa,laki nanusu bills gani mkeo analipia maji na umeme?
Hebu kaeni chini elezeaneni uhalisia wa maisha
Na mkeo nae kama sio mlemavu akatafute Hela ajitume wanawake mjini wanauza maandazi wanauza chakula aende shule za jirani auze ice cream natamni kungekuwa na voice note aisee😀
Afya ni kada ya afya na Niko hospitali ya mkoa kabisa...600k mtu analipwa kwa mwezi! Hizo kazi samtaimu.. bakini nazo tuu kazi zenu mazee. 😁