wewe hujajieleza vya kutosha--- lakini kama maelezo yako ni kweli - inabidi kidogo uishi maisha ya kijeshi-- wewe ndo unaona uhalisia huko mkuu kikubwa jitahidi vitu kununua kwa jumla na punguza matumizi yasio na maana, wife nae hapo kitaa atafutiwe biashara hata kuchoma maandazi/chapati. Hapa hakuna namna. Ila ukiishi kifalme hapa mwanzoni itakua changamoto.Asante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwa
NIlianza hivyo mwanzoni ila nikaona kama namtesa mke wangu ila ilinisaidia.Umeongea fact kabisa
Daftari muhimu Tena litamsaidia sana Nina vinotebook vya kutosha kilamwez ni mahesabu makali😀maisha yanatak uwe serious
Kwenye hiyo laki nanusu ongeza mboga za nafaka maharage kama choroko na dagaa ikiwezekana kma mnatumiaNikapata mshahara nanunua chakula kama 150 hapo nimeweka gas,Michele,unga,mafuta,mkaa.
Namkabidhi waifu 150K Kwa kigezo Cha kutumia elfu 5 Kila siku ya mboga na hapa nishagombana nae maana unakuta mwezi hauishi Hela imekata.
Mpaka hapo nakuwa nimeshatumia laki 3.
Laki Moja natuma nyumbani kila mwezi nabakiwa na laki nne.
Kodi nalipa laki Moja uwa nasave maana nalipa miezi mitatu.
Mpaka hapo laki 5.
Mimi nabaki na hiyo laki Moja nayo kuna muda nakuta imeisha hata sielewi inaenda wapi
Asante Kwa ushauri kaka unahisi kipi ninaficha ninaweza kufungukawewe hujajieleza vya kutosha--- lakini kama maelezo yako ni kweli - inabidi kidogo uishi maisha ya kijeshi-- wewe ndo unaona uhalisia huko mkuu kikubwa jitahidi vitu kununua kwa jumla na punguza matumizi yasio na maana, wife nae hapo kitaa atafutiwe biashara hata kuchoma maandazi/chapati. Hapa hakuna namna. Ila ukiishi kifalme hapa mwanzoni itakua changamoto.
Na sehemu ulipo kama kuna nafasi jogoo 1 na mtetea 1 asikose.
Kama kweli umevurugwa ni mchakamchaka hapa mwaka mmoja.
Naam naam, namba zitajionesha zenyewe. Mipango mahiri unasogea-- maana mshahara hata uwe 2M ukiutumbua hovyo myu wa 800k anafanya maendeleo wewe upo tu . Nakibaya unakua unajisifu nina mshahara mkubwa aisee🤣🤣Umeongea fact kabisa
Daftari muhimu Tena litamsaidia sana Nina vinotebook vya kutosha kilamwez ni mahesabu makali😀maisha yanatak uwe serious
Asante Kwa ushauri je kama nikifanikiwa kununua vitu vyote hivyo nikimwachia elfu 5 Kwa siku nakosea maana ananiambia haitoshi?Kwenye hiyo laki nanusu ongeza mboga za nafaka maharage kama choroko na dagaa ikiwezekana kma mnatumia
Nimeishi kijijini sikuwa natumia hata Laki na nusu Kwa mwezi Yani kilakitu na nilisurvive now Niko mjini nakula nachotaka Sina stress saa bajet inaongezeka ila nikiamua inakaa sawa so kilakitu ni wewe unavoamua Kuishi kulingana na kipato chako kma unamalengo jibane
Wako mjini sema watoto tulkubaliana tuwe tunatumia laki Moja kila mwezi japo Mimi nilioona Bora nifanye ushauri kama wako wa biashara na hapo yenyewe natumaga 50K Tena wanalalamika haiwatoshiHuko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya
Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu
Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
Dar sipataki kabisa.Pole weka mipango utatoboa, bila shaka haupo kwenye hili jiji letu
Mwachie ila mwanamke ambae kilakitu kipo na akaamua kupambna ana survive vizuri tu inategemea na akili yake ila mtafutie Cha kufanya bila hivo ni changamotoAsante Kwa ushauri je kama nikifanikiwa kununua vitu vyote hivyo nikimwachia elfu 5 Kwa siku nakosea maana ananiambia haitoshi?
NO mkuu yani ni kama nimesisitiza tu taarifa muhimu uainishe, naamini wadau watasaidia mawazo--- mfano vitu kama working hours -- hapa watu wanaweza kuonesha fursa za afterworks kama muda unakuwepo distance ya home na kazini "" ili kuangalia rooms za bei nafuu ujiposition namna ipi-- but kikubwa sana kulimit matumizi hewa na starehe zisizo na msingiAsante Kwa ushauri kaka unahisi kipi ninaficha ninaweza kufunguka
Kama unafanya vitu expensive Acha, anza kufanya vitu ambavyo ni cheap.Na hii ndio ideas yangu.
Ila kichwa kinawaka moto mshahara haukai maana Kila siku mshahara unaishia kwenye chakula tu na expensive nyingine Nina kitanda na godoro pekee mpaka Sasa
Watoto gani?Wako mjini sema watoto tulkubaliana tuwe tunatumia laki Moja kila mwezi japo Mimi nilioona Bora nifanye ushauri kama wako wa biashara na hapo yenyewe natumaga 50K Tena wanalalamika haiwatoshi
Mimi kazini natembea nafanya afya so sifanyi shift za jumatatu ijumaa Bali kuna siku nakuwa mchana kuna siku naingia asubuhi na night pia kNO mkuu yani ni kama nimesisitiza tu taarifa muhimu uainishe, naamini wadau watasaidia mawazo--- mfano vitu kama working hours -- hapa watu wanaweza kuonesha fursa za afterworks kama muda unakuwepo distance ya home na kazini "" ili kuangalia rooms za bei nafuu ujiposition namna ipi-- but kikubwa sana kulimit matumizi hewa na starehe zisizo na msingi
Tuko watoto watatu watumishi so tulkubaliana tuwe tunawatumia wazazi Hela wawe wananunua chakula.Watoto gani?
Wazaziwako Wana nguvu?
Kwanini ukae nyumba ya ovyo? Pesa haitoshi na haijawahi kutosha.....waza kuongeza kipato...... Kama mke hana kazi mtafutie kishughuli cha kufanya upunguze mzigo kwa kiasiAsante kaka je Kodi ya 100K Kwa huo mshahara ni sahihi maana Niko town niliwaza nipunguze nitafute hata nyumba hata ya ovyo ya 40 Kodi ili nipate muda wa kuutuliza kichwa
Asante sana Kwa ushauri.Kama unafanya vitu expensive Acha, anza kufanya vitu ambavyo ni cheap.
Twende kibabe.Punguza matumizi yasiyo na lazima kwanza mkuu, kaa na daftari na peni kabisa--- then upate kusave hata 150k kwa mwezi-- wife nae ni muda muafaka wa kuanza biashara ndogondogo hapo nyumbani. Ubaya ubwela
Unanifurahisha naomba niufuate ushauri wako mkuu.Sasa mwanzo ulisurvive vipi bila mshahara --sasa hivi hela inaingia uanze pagawa--- hapo piga mwendo wa kijeshi tu mwaka --- ishi kama hujapata kazi. Mjomba kameza shoka kijijini na wewe unaungana na kundi la wasio na hela mkuu, fanya huu ujasiri mwaka mmoja tu mambo yataenda yenye-- hiyo nyumba ya laki kwa mwezi 👀 mbona mapema sana