Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Ushauri, buni biashara yoyote ila ufanye utafiti wa kutosha. Tumia mshahara wako kwa kuomba mkopo. Utateseka kwa mda ila matunda utayaona baadae. Nasema utafiti wa kutosha kwa kuwa dunia ya leo ina mengi, hasa nguvu za giza.
 
Pambana dogo,,wajuba tunapokea 333,333.33 mikopo imetufikisha hapa na tunaishi mjini dsm , kikubwa ondoa mindset ya kua mtumishi wa umma piga mishe yoyote usione aibu sababu maisha ni yako,,
 
Back
Top Bottom