Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Hahahaaaaa dah.
 
sio TISS ni makada
 
Alikuwa maarufu sababu alikuwa waziri w ndani na pia mambo ya nje, na hata Mahiga katika muda mfupi wa kuwa waziri alitokea kuwa maarufu.
 
TISS iliishia kwakina mwang'onda wengine ni waganga njaa [emoji41][emoji41]
Kang'olewa Mtu jitu bin Jabali iliaeaminika hazuiliki bila ya heka heka na Nchi imerejea kwn reli halafu unasema kuna waganga njaa?

au unataka ifike 2050 ndio mseme enzi zile za 2020 kulikuwa na watu na nusu ?
 
Mwaka 1983 vita ilishaisha tangu 1980 sasa auwawe kwa lipi au alibuki kitu!!?
Vita ya Kagera iliisha 1986 alipoingizwa Mtu wetu Yoweri Kaguta. museveni

1980 iliisha vita ya kumtoa Iddy Amini ikaendelea ya kupandikiza vibaraka

Vijana mnaniangusha sana kwa kutojua mambo obvious kama haya

walipita ma Rais kama watatu na wote tukawatoa hadi ilipofika Museven tukaridhika tukarudisha majembe store
 
Yeye alikuwa ni kiongozi mwandamizi ! Au wewe inakuuma nini! Au ulitaka aseme yeye alikuwa anafanya kazi Chama Cha Walimu Tanzania! Tumia muda wako mwingi kuficha wehu ulionao!
 
Mkuu unaposema "mission ngumu" unaelewa maana yake kweli?? Kufa/ kuponea chupu chupu kuuawa haitoshi kuipa ugumu kazi iliyokuwa inafanyika. Kuna vitu vigumu watu wamefanya na wametulia tu Kama hawapo.
 
Mkuu vita kati ya TZ na UG iliisha 1980 hizi za kila Lule, Mseveni na wengine hazikuwa vita kati ya TZ na UG.
 
Je umewaza kama lengo ilikua sio kuuwa bali kumtisha na kumpunguza morali? Hapo vipi!?
 
Mahiga hakua na Makuu bwana Kiranga? Ushawahi lisikia jina La masikhara la Posh Boy?
 
Mahiga hakua na Makuu bwana Kiranga? Ushawahi lisikia jina La masikhara la Posh Boy?
Watu walikuwa wanamshobokea mshua wa watu kwa sababu zao tu.

Mambo ya UN politics ni mengi sana, yana vikundi sana.

Ila mimi nilikuwa napiga naye story kama mshkaji tu, tena akifunguka vizuri sana mambo mengi, ingawa alikuwa mkubwa sana kwangu na mtu aliyeshika nyadhifa nyeti nchini kiasi kwamba angekuwa na shobo asingeweza kuni entertain kabisa.

Na hii habari ya kujichanganaya ni tabia yake, watu wengi sana wameitaja. Nafikiri ni sehemu ya mafunzo ya kikachero na kijasusi ya kujua kukaa na watu tofautitofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…