zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Simkumbuki ila nashangaa unavyosema katunyoosha ilihali tulikua tunamchora tu. Tumejibu mapigo kidogo tu akapotea Hadi Leo alafu unasema ana akili?.Huoni mpaka leo unaendelea kumkumbuka kwa kukunyoosha!!?
Kuna mengi sana ya kueleza ila mengine tunasita kwa .maslahi ya Nchi yetuMkuu vita kati ya TZ na UG iliisha 1980 hizi za kila Lule, Mseveni na wengine hazikuwa vita kati ya TZ na UG.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]Tema mate chini kaka, alafu yakisha kauka endelea na misele yako...
[emoji106]Haya tuambie na wewe unachojua kuhusu Marehemu Membe?
Hivi CHADEMA zile milioni 38 baada ya ule mkopo usio na riba mliopewa na maswahiba zenu mlilipa ?!!![emoji1787][emoji1787]Mtajijua CCM wenyewe Sina sababu ya kuhudhuria msiba wakati haunihusu. The more mnapigana wenyewe kwa wenyewe ndio the more Chadema becomes stronger.
[emoji1787][emoji1787]Hakuna lolote.
Premises za shambulio kuonyesha pasipo shaka kuwa lilifanywa na amateurs; tayari hilo peke yake linaiondoa Serikali bila kujali ni nini kiliendelea mbele baada ya shambulio hilo kuwa limetokeaJe umewaza kama lengo ilikua sio kuuwa bali kumtisha na kumpunguza morali? Hapo vipi!?
Wivu unakusumbua wewe.... Kunywa koka ulale...Kwasababu archives hazijaruhusiwa kusimulia operation alizoshiriki wewe uzijue kuna watu wamefanya makubwa nchi hii mpaka ukisimuliwa unaogopa! Ndio maana magufuli alipoleta ujuaji idara ikamshangaa sana hasa top retirees wakashangaa huyu mwalimu wa kemistri wa secondary anatuletea ishu gani huku ....?
dogo wacha stori za vijiweni,hujui kitu.Mambo kwa ground hayapo hivyo.Nashangaa!!anawasahau akina mzee JM walioenda kumpeleleza Idd amini katikati ya uhasama ,muda mchache kabla ya Vita kamili kuanza ,akaingia Hadi ikulu ya amini ,wakala na kunywa na amini ,kumbe ameenda kudukuliwa info.wapo waliofanya Mambo makubwa ,sio huyu membe !!
Mahiga godfather wake ni membe.Bila Membe,Mahiga asingekuwa TISS.Personal attack kivipi? Huyo Membe wako hakuwa lolote. Balozi Mahiga alikuwa jasusi kweli kweli lakini alikuwa hajikwezi kama huyo Membe wako.
Mmmh.... ngoja nisiseme kitu!Mahiga godfather wake ni membe.Bila Membe,Mahiga asingekuwa TISS.
mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwl wake.
Duuuh!!!Yaani ufanye kazi CIA halafu unapostaafu uende kuwa mlinzi wa Suma JKT?????
Unaielewa CIA wewe???????
Kwa kweli Pombe na bangi zinawasumbua sana baadhi ya watu.
Kamarada Membe ni zaidi ya walivyomsikia.....Wanazani wamejua serikali awami ya tano
Mabere ni mwanasheria....Mission ya kagera Jasusi Mabere Marando ndie alikuwa wa kwanza kutinga Kampala kushushu kwa maelezo yake mwenyewe
Tuseme kweli alipenda sifa....inaondoa uwezo wake wa DIPLOMASIA?Huyo siyo jasusi bobezi ila siasa na wanasiasa ndio wanamwona kama jasusi bobezi pia alipenda kusifiwa sana!!
Kwa kureason hiv tayari wamefanikiwa 100%...."make it look like a coincidence"Premises za shambulio kuonyesha pasipo shaka kuwa lilifanywa na amateurs; tayari hilo peke yake linaiondoa Serikali bila kujali ni nini kiliendelea mbele baada ya shambulio hilo kuwa limetokea
Tatizo hapa watu wanarukia kwenye kile kilichokuja kutokea baada ya shambulio, badala ya kuangalia ni nini kilitokea wakati wa shambulio
Mbona Ata Lyaatonga Mrena nate alikuwa askari kanzu?naskia marehemu Augustino Mahiga nae alikuwa TISS