Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Huoni mpaka leo unaendelea kumkumbuka kwa kukunyoosha!!?
Simkumbuki ila nashangaa unavyosema katunyoosha ilihali tulikua tunamchora tu. Tumejibu mapigo kidogo tu akapotea Hadi Leo alafu unasema ana akili?.
 
Mkuu vita kati ya TZ na UG iliisha 1980 hizi za kila Lule, Mseveni na wengine hazikuwa vita kati ya TZ na UG.
Kuna mengi sana ya kueleza ila mengine tunasita kwa .maslahi ya Nchi yetu

kwa kifupi hata kama Amini asingemtoa Milton kwa Mapinduzi ilishapangwa Museveni akamtoe kwa njia ya Vita kama ambavyo ilipangwa kwa Laurent Kabila na kufanikiwa japo ilichelewa sana

miaka ya mwisho ya 1960s Museven alishakuwa kwny payrol ya kijitonyama kwa kazi hiyo.

Julius Nyerere alikuwa na akili nyingi sana na zote alizitumia kwny utawala ndio maana akafanikiwa sana kuwa Mwamba katika nyakati za Miamba haswa!

wengine wana akili kidooogo hapo hapo anaitumia kupanga wizi, Umalaya halafu ufanye wonderful kama za Mwalimu?
 
Mtajijua CCM wenyewe Sina sababu ya kuhudhuria msiba wakati haunihusu. The more mnapigana wenyewe kwa wenyewe ndio the more Chadema becomes stronger.
Hivi CHADEMA zile milioni 38 baada ya ule mkopo usio na riba mliopewa na maswahiba zenu mlilipa ?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Je umewaza kama lengo ilikua sio kuuwa bali kumtisha na kumpunguza morali? Hapo vipi!?
Premises za shambulio kuonyesha pasipo shaka kuwa lilifanywa na amateurs; tayari hilo peke yake linaiondoa Serikali bila kujali ni nini kiliendelea mbele baada ya shambulio hilo kuwa limetokea
Tatizo hapa watu wanarukia kwenye kile kilichokuja kutokea baada ya shambulio, badala ya kuangalia ni nini kilitokea wakati wa shambulio
 
Kwasababu archives hazijaruhusiwa kusimulia operation alizoshiriki wewe uzijue kuna watu wamefanya makubwa nchi hii mpaka ukisimuliwa unaogopa! Ndio maana magufuli alipoleta ujuaji idara ikamshangaa sana hasa top retirees wakashangaa huyu mwalimu wa kemistri wa secondary anatuletea ishu gani huku ....?
Wivu unakusumbua wewe.... Kunywa koka ulale...
 
Nashangaa!!anawasahau akina mzee JM walioenda kumpeleleza Idd amini katikati ya uhasama ,muda mchache kabla ya Vita kamili kuanza ,akaingia Hadi ikulu ya amini ,wakala na kunywa na amini ,kumbe ameenda kudukuliwa info.wapo waliofanya Mambo makubwa ,sio huyu membe !!
dogo wacha stori za vijiweni,hujui kitu.Mambo kwa ground hayapo hivyo.
 
Personal attack kivipi? Huyo Membe wako hakuwa lolote. Balozi Mahiga alikuwa jasusi kweli kweli lakini alikuwa hajikwezi kama huyo Membe wako.
Mahiga godfather wake ni membe.Bila Membe,Mahiga asingekuwa TISS.

mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwl wake.
 
Ukiona mtu anajitahidi kuelezea jambo sana ujue hana akijuacho anajitahidi kwakua anawasiwasi anajazia habari ili uongo wake usijulikane(anasuka uongo ufanane na ukweli)hakuna jasusi(mwenye akili timamu na nidhamu ya kazi) atakaye kuelezea jinsi kazi yake ya siri inavyofanyika huku akijua faida au hasara zake hata hao waliopo katika mfumo wanafahamu wapo wajuaji na waliandaa mfumo wa kuwadhibiti waajiliwa wajuaji na kivyovyote lazima utakua madhubuti kiasi cha kumfanya binadamu wenye kinywa asiseme anachokijua si mchezo sasa jiulize je, hao hawaujui mfumo huo utakao wakumba? Je, wao kama ni kweli wapo mfumoni hawajui ni njia gani mfumo hutumia kuwashughulikia watoao taarifa za siri kama wao?, Na kama wanajua usingeona wakimosea wangetulia kabisa ila wangeshindwa kujizuia huenda pale ambapo watakua wakizitoa ana kwa ana tena kwa mtu wanaejua hana athari na kazi, binafsi siwatiliii maanani watu kama hawa na kama ni kweli(huenda wakawa for 1%) lakini nawashauri hata kama hii waifanyayo hapa ni sehemu ya majukumu wanaifanya kishamba sana vijana tuliosoma TEHAMA hatumuulizi mtu yeye ni nani TEHAMA ndie Jasusi wa kweli duniani hapa wachache mno tunaelewana utatumia muda mwingi kutuaminisha wewe ni nani tutatumia nusu saa kufanya reconisence na kukuweka uchi ila kwa tahadhari(ethical) kila la heli katika kudanganyana mimi naamini jasusi ni mtu yoyote yuleanaeijua TEHAMA vizuri
 
Yaani ufanye kazi CIA halafu unapostaafu uende kuwa mlinzi wa Suma JKT?????

Unaielewa CIA wewe???????

Kwa kweli Pombe na bangi zinawasumbua sana baadhi ya watu.
Duuuh!!!
Una kichwa kigumu sana kuelewa ndugu.
 
Mission ya kagera Jasusi Mabere Marando ndie alikuwa wa kwanza kutinga Kampala kushushu kwa maelezo yake mwenyewe
Mabere ni mwanasheria....

Membe ni mwanadiplomasia zaidi....kila mtu alisimamia taaluma yake...

Rest easy baba Cecy ,amen[emoji120]
 
Premises za shambulio kuonyesha pasipo shaka kuwa lilifanywa na amateurs; tayari hilo peke yake linaiondoa Serikali bila kujali ni nini kiliendelea mbele baada ya shambulio hilo kuwa limetokea
Tatizo hapa watu wanarukia kwenye kile kilichokuja kutokea baada ya shambulio, badala ya kuangalia ni nini kilitokea wakati wa shambulio
Kwa kureason hiv tayari wamefanikiwa 100%...."make it look like a coincidence"
 
Back
Top Bottom