Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

Hapana hajawahi na hakuwahi kabisa kuingia kwenye kitengo!
Kuna watoto wanakua mpaka wanazeeka hawajui baba zao ni tss
Sasa sijui wewe ni afsa utumishi wa idara kwamba ujue wote sijui

Umetumia nguvu kubwa sana kupinga

Ambapo inawezekana alikuwa na inawezekana hakuwa

Wengi wanasemwa mtaani ila uhalisia haupo na wapo hawasemwi ila ndio wao

Idara ina mengi

Najua baadhi kwa kusoma mitandaoni na baadhi na vitabu au majarida
Ila sijawahi kuitaman wala kuipenda hiyo kazi

Ila jeshi la jw ndo lilikuwepo moyoni mwangu
Na bahati mbaya sikuwahi pata nafasi
 
We sio kweli
 
Mkuu wa wilaya ni title tu ambapo yeyote anakuwa
Na dc anawatumishi wake chini yake kama das ambapo wale wa usalama hawapo huko na wao wana ofisi yao na dc haingilii kule
Atapewa taarifa ambazo zinamhusu tu kwa level yake lakini pia idara wilaya au mkoa taarifa zao zinakwenda zipo ngazi inayofata mfano wilaya atareport mkoani
Lakini zipo za kwenda moja kwa moja makao na dc au rc hapewi taarifa
 
Uchunguzi wa lisu shida ilikuwa chadema wenyewe

Mfano
Kulikuwa na sababu gani kumtorosha dreva?
 
Hivi dr sengodo mvungi alipigwa kipindi cha magufuli? Naye et
2013
 

Dc ni title tu sio?
Kwa nini yeye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama?
Ulinzi na usalama anaotajwa kuwa ni mwenyekiti ni wa aina gani…??
Mtu yeyote anaweza kuwa mwenyekiti wa ccm kama si mwanachama?
 
Uchunguzi wa lisu shida ilikuwa chadema wenyewe

Mfano
Kulikuwa na sababu gani kumtorosha dreva?
Uchunguzi unamhusu Lissu na dereva kivipi kama wangeuwawa? Uchunguzi naongelea gari zilizotumika, aina ya silaha iliyotumika, CCTV maeneo ya karibu, uwepo wa wageni Dodoma, Nissan patrol namba zake zilitajwa hadharani why uchunguzi usianzie pale?

Hivi Ina maana mtu akishambuliwa akafariki basi uchunguzi hauwezi fanyika kisa tu dereva na yeye wamekufa?
 
Hivi dr sengodo mvungi alipigwa kipindi cha magufuli? Naye et
2013
Mvungi ni isolated case ila kipindi Cha JPM umesikia wafungwa zaidi ya 480 wa kisiasa wameachiwa tayari. Kipindi Cha JPM walikuwa wengi hivo? Hakuna uchaguzi umeporwa kama wa 2020 in fact kata yangu hakukua na uchaguzi maana diwani na mbunge walipitia bila kupingwa!! Alafu unalinganisha na JK?

Hapo Bado list ya waliuwawa kuanzia Mawazo, Mwenyekiti Chadema Hananasif, Bado yule aliyeuwawa kwa mapanga kule Ifakara,mdogo wake Heche, mdogo wake Wenje, Lissu kushambuliwa, Ben Saanane duh list ni ndefu sana.
 
Dc ni title tu sio?
Kwa nini yeye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama?
Ulinzi na usalama anaotajwa kuwa ni mwenyekiti ni wa aina gani…??
Mtu yeyote anaweza kuwa mwenyekiti wa ccm kama si mwanachama?
Ndani ya kamati yake wajumbe ni
Police kwa mana ya ocd
Mkuu usalama dso
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto nk
Sasa mfano je yeye dc ni police au magereza au je yeye ni uhamiaji? Hapana
Manake kuwa mwenyekiti sio lazma uwe mtumishi katika hizo sector
 

Mawazo aliuwawa mwaka gan? fanya utafiti wewe Mkongo
 
Mawazo aliuwawa mwaka gan? fanya utafiti wewe Mkongo
Kauwawa baada ya uchaguzi wa 2015, Rais alikwisha tangazwa ni JPM. Sukuma gang walihusika kumuua kipenzi Chetu na tumaini la wanachadema Kanda ya ziwa.

Mliogopa kukiwepo na watu wenye ushawishi Kanda ya ziwa Ili ionekane ni Kanda ya JPM. Nashukuru sisi kule Buyungu tuliwakataa kabisa CCM na magufuli wenu.
 
1992 Chifu Fundikira alimtangaza sana Mabere Marando na kumfanya kuwa maarufu.

Siasa zetu zinafurahisha sana.
 
Ndani ya kamati yake wajumbe ni
Police kwa mana ya ocd
Mkuu usalama dso
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto nk
Sasa mfano je yeye dc ni police au magereza au je yeye ni uhamiaji? Hapana
Manake kuwa mwenyekiti sio lazma uwe mtumishi katika hizo sector

Hivi nikuulize? Hakuna wakuu wa wilaya ambao ni askari, tena wa Jw? Hao una uhakika gani hawapo ndani ya idara…!?
Suala la usalama ni jambo nyeti mno!
Inawezekana vipi, mtu kuwa mwenyekiti wa suala nyeti kama hilo kama hana ABCs…??
Akina Jokate, Nikki wa Pili, Gondwe na wengie wote hawakupata hizo nafasi kwa kukurupuka tu!
 
Akiendelea kubishana na wewe nitag,pia atakuwa muha wa kigoma huyo
 
Membe alitaka kujulikana sababu ya siasa na umri wake ulikuwa umeenda. Na pia Membe alikuwa very modern and dynamic amishi sana ugahibuni alikuwa na tamaduni za huko zilishammeza.

Watu wa kitengo wapo kila mahala na hata sehemu mpya, kwenye kazi mpya huwa wanakuwa recruited.

Mfano unaweza kukuta bank c imeajiri vijana, kijana mmoja akawa recruited kuwa mtu wa kitengo bila mwajiri wake kujua na akawa ni asset ya kupata taarifa wanazihitaji ndani ya ofisi yake.

Foreign affairs almost three quarter ya watumishi wapo kitengo actively. Ukienda chuo cha diplomasia hata wale walinzi getini wanaovaa suti za bluu ni watu wa kitengo. Ukienda vyuoni wapo malecturer wanakuwa watu wa vitengo na wanatumiwa sana kwenye masuala yanayohitaji utaalamu. Mnashangaa lecturer anakwenda semina kumbe yuko kwenye ma task force anasaidia kuchakata taarifa za kisomi.

Jpm alikuwa na mapenzi binafsi na kitengo aliwapa kipaumbele sana.mfano bandarini alijaza watu wa kitengo. Ukienda sabasaba taasisi ile imejaa watu wa kitengo Tantrade, huko CTi, Tccia , kule Taa ndio usiseme wamejaa wanachunguzana wenyewe kwa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…