sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Utoto mwingi na ushamba na ufalaKila kukicha kuna watu tofaut humu wanajifanya Ni watu wa mfumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utoto mwingi na ushamba na ufalaKila kukicha kuna watu tofaut humu wanajifanya Ni watu wa mfumo
Kuna watoto wanakua mpaka wanazeeka hawajui baba zao ni tssHapana hajawahi na hakuwahi kabisa kuingia kwenye kitengo!
Ni nani sasa?Aloyekwambia DSO ni wa TISS nani??
Mbona mnachanganya sana neno USALAMA?
We sio kweliHivi ni nani anaweza kuwa mkuu wa wilaya ama mkoa kama si mwewe?
Yaani mtu awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya/mkoa ambapo DSOs wako chini yake bila kujua ABCs za kitengo?
Hiki kitengo ni zaidi ya kinavyosikika!
Mawaziri na manaibu wao, wakurugenzi wa manispaa na hamashauri, wakurugenzi wa mashirika na taasisi za umma, baadhi ya madaktari na waalimu, baadhi wachungaji, mapadre na maaskofu pamoja na wasanii baadhi ya wasanii, waandishi wa habari ni wanavitengo!!!
Mkuu wa wilaya ni title tu ambapo yeyote anakuwaHivi ni nani anaweza kuwa mkuu wa wilaya ama mkoa kama si mwewe?
Yaani mtu awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya/mkoa ambapo DSOs wako chini yake bila kujua ABCs za kitengo?
Hiki kitengo ni zaidi ya kinavyosikika!
Mawaziri na manaibu wao, wakurugenzi wa manispaa na hamashauri, wakurugenzi wa mashirika na taasisi za umma, baadhi ya madaktari na waalimu, baadhi wachungaji, mapadre na maaskofu pamoja na wasanii baadhi ya wasanii, waandishi wa habari ni wanavitengo!!!
Uchunguzi wa lisu shida ilikuwa chadema wenyeweTunasema serikali sababu
1. Iligoma kufanya uchunguzi.
2. Polisi wanaolinda pale walikuwa ordered kuondoka.
3. CCTV inadaiwa zilikuepo ila ziliondolewa baadae.
4. Ile ni residence ya viongozi wa bunge na serikali so huwezi tuma wahuni wa kawaida alafu wasikamatwe.
5. Lissu alisharipoti kufuatiliwa na Nissan Patrol ila Polisi hawakuchukua hatua yeyote Wala kulikamata Hilo gari.
Ndio maana nikasema huenda mission haikuwa ya TISS ila personally walituma killer squad either ya Polisi, FIU, FFU, au hata private hitmen!!. Ila uhusika wa serikali Hilo ni 100% bila ubishi.
Nmeongelea TISS sio serikali, tatizo una over estimate uwezo wa serikali. Sasa kama tu mikataba tunaibiwa wazi vile unadhani RC akipewa hata million 100 za kummaliza Lissu usishangae akachukua sungu sungu wa million 2 tu wakafanye hiyo mission. Ila nani kawatuma? SERIKALI!!
Hivi dr sengodo mvungi alipigwa kipindi cha magufuli? Naye etAmateurs kivipi na ni eneo linalindwa na Polisi maana wanaishi viongozi wa serikali? Na pia kama ni amateurs kwanini Polisi ishindwe kuwakamata ilihali plate numbers za Hiyo Nissan Patrol zilitajwa hadharani?
Labda ungesema waliotumwa na JPM walishoot vile Ili kuwatisha zaidi wapinzani kwamba sio tu utakufa ila utakufa violently. Maana kama wangemuua kwa sumu nani angejua? Ila kwa uwazi ule Kila mtu angeogopa.
So huwezi ondoa ushiriki wa serikali ila hizo methods zilizotumika ndio Zina prove JPM hakuwa TISS maana asinge order elimination ya mtu wazi vile more so hakukuwa hata na plan B kama angepona risasi!!
We sio kweli
Mkuu wa wilaya ni title tu ambapo yeyote anakuwa
Na dc anawatumishi wake chini yake kama das ambapo wale wa usalama hawapo huko na wao wana ofisi yao na dc haingilii kule
Atapewa taarifa ambazo zinamhusu tu kwa level yake lakini pia idara wilaya au mkoa taarifa zao zinakwenda zipo ngazi inayofata mfano wilaya atareport mkoani
Lakini zipo za kwenda moja kwa moja makao na dc au rc hapewi taarifa
Uchunguzi unamhusu Lissu na dereva kivipi kama wangeuwawa? Uchunguzi naongelea gari zilizotumika, aina ya silaha iliyotumika, CCTV maeneo ya karibu, uwepo wa wageni Dodoma, Nissan patrol namba zake zilitajwa hadharani why uchunguzi usianzie pale?Uchunguzi wa lisu shida ilikuwa chadema wenyewe
Mfano
Kulikuwa na sababu gani kumtorosha dreva?
Mvungi ni isolated case ila kipindi Cha JPM umesikia wafungwa zaidi ya 480 wa kisiasa wameachiwa tayari. Kipindi Cha JPM walikuwa wengi hivo? Hakuna uchaguzi umeporwa kama wa 2020 in fact kata yangu hakukua na uchaguzi maana diwani na mbunge walipitia bila kupingwa!! Alafu unalinganisha na JK?Hivi dr sengodo mvungi alipigwa kipindi cha magufuli? Naye et
2013
Ndani ya kamati yake wajumbe niDc ni title tu sio?
Kwa nini yeye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama?
Ulinzi na usalama anaotajwa kuwa ni mwenyekiti ni wa aina gani…??
Mtu yeyote anaweza kuwa mwenyekiti wa ccm kama si mwanachama?
Mvungi ni isolated case ila kipindi Cha JPM umesikia wafungwa zaidi ya 480 wa kisiasa wameachiwa tayari. Kipindi Cha JPM walikuwa wengi hivo? Hakuna uchaguzi umeporwa kama wa 2020 in fact kata yangu hakukua na uchaguzi maana diwani na mbunge walipitia bila kupingwa!! Alafu unalinganisha na JK?
Hapo Bado list ya waliuwawa kuanzia Mawazo, Mwenyekiti Chadema Hananasif, Bado yule aliyeuwawa kwa mapanga kule Ifakara,mdogo wake Heche, mdogo wake Wenje, Lissu kushambuliwa, Ben Saanane duh list ni ndefu sana.
Kauwawa baada ya uchaguzi wa 2015, Rais alikwisha tangazwa ni JPM. Sukuma gang walihusika kumuua kipenzi Chetu na tumaini la wanachadema Kanda ya ziwa.Mawazo aliuwawa mwaka gan? fanya utafiti wewe Mkongo
Ndani ya kamati yake wajumbe ni
Police kwa mana ya ocd
Mkuu usalama dso
Magereza
Uhamiaji
Zimamoto nk
Sasa mfano je yeye dc ni police au magereza au je yeye ni uhamiaji? Hapana
Manake kuwa mwenyekiti sio lazma uwe mtumishi katika hizo sector
Akiendelea kubishana na wewe nitag,pia atakuwa muha wa kigoma huyoHii point uliyoongea hapa, ilitakiwa iwe tayari imeshakupa ufahamu wa kuwa shambulio la TL halikufanywa na professionals bali amateurs
Ingekuwa Serikali risasi moja tu ilikuwa inatosha. Professionals huwa hawafanyi kazi kwa panic au kwa kuogopa; wanamwogppa nani?
Wakati mwingine mtakuja kuwa mnaharibu mahusianao yenu na Serikali kwa kushindwa kuwa na ule ufahamu wa kawaida tu wa kuchambua mambo. Wewe tayari tukio unaliona kwa mtizamo huu uliousema hapa, halafu bado unadhani kuwa ilikuwa ni Serikali! Yaani unakuwa kama huna akili ya kuchambua mambo
DSO ni mmoja tu ktk wilaya. Lakin wapo weng kila idara.
Ndio kizazi cha membeTISS iliishia kwakina mwang'onda wengine ni waganga njaa 😎😎