Watumishi wa TISS huwa si maarufu, Ilikuwaje Marehemu Membe awe maarufu kwa utumishi wa TISS?

kwanza wewe mkimbizi kutoka congo kuna ambacho unakijua kaa kimya mbwa wewe
 

Kwamba sirro alikuwa hajui[emoji23][emoji23][emoji23].

Hakuna kitu kama hicho,ukiwa mkuu wa jeshi ama polisi,una mamlaka ya kuteua na kutengua vituo vya kazi vya maofisa wa ngazi nyingi isipokuwa kamishna tu na naibu wake.

Ni rahisi kumjua mtu anayefanya kazi mbili maana upo wakati utaagizwa fulani mwache pale au mtoe mpeleke huku.
Wengi kwa kauli ile wanadhani sirro alijulia pale,nadhani akawa anaguna tu kimoyo moyo.
 
Every one in this country seems to know TISS a lot

Goddammit mnaijua TISS kweli.?
 
Wilayani wanajulikana kama na DSO so usiwe mjinga

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako tunalewa wote viti virefu na wanaringia UTIS. Hapa kijitonyama wengine wanakuja pub na bastola zinaninginia matakoni kishamba tu! Wengi ni Maafisa Ulevi wa Taifa! Acha jasusi mbobezi ajitofautishe na hao wapuuzi!
 
Sirro hakuamini majicho nazani ali tukana sana kimoyomoyo [emoji81][emoji81]
 
Huna unalojua kabisa kama serikali haihusiki hao wanaochafua serikali waliokamatwa lini?

Kama serikali haihusiki kwanini ikatae kulipa stahiki za kiafya kama sheria inavyotaka?

Kama serikali haihusiki kwanini hakuna uchunguzi mpaka Leo?

Kama serikali haihusiki kwanini Ile Nissan Patrol haijakamatwa mpaka Leo?

Kama serikali haihusiki raia wa kawaida anaweza vamia eneo la viongozi wa serikali na akatoka salama? Maadam umesema ni amateurs Ina maana wameacha traces nyingi Sasa how comes hawajakamatwa?

Maana unavyoongea ni kana kwamba mtu akiuwawa na kikundi kisicho Cha serikali basi haitakiwi serikali kuchunguza.... Kwani Hawa majambazi wanaokamatwa Kila siku huwa wanatumwa na serikali?

We hubiri wasabato wenzio huko Kigamboni mambo ya siasa huelewi.
 
Well Noted Mkuu

Yericko Nyerere
 
kwanza wewe mkimbizi kutoka congo kuna ambacho unakijua kaa kimya mbwa wewe
Jibu swali kama hao TISS ni professionals kiasi hawawezi mkosa Lissu kwa risasi niambie ilikuaje wakashindwa mlinda Ibilisi wenu Hadi akafa kizembe zembe vile?

Kituko zaidi taarifa za kifo chake zilivuja Dunia nzima huku nyie makondoo mkibisha humu Mitandaoni. Sasa hao TISS kama ni imara how did they let the information leak?

Mnachekesha sana
 
You must not be serious, unataka kusema hata Ramadhani Igondu siyo maarufu?! Pamoja na kug'oa na makende ya Dkt Ulimboka?
 
Bado analysisi yako hapa ina-support statement yangu kwamba Serikali haikuhusika, especially JPM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…