Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Tunawasubiri tuwape fremu nao wafanye biashara baada ya kustaafu.
 
Kuiondoa CCM na Katiba Mpya
 
Inakuwaje Kidata hayaoni haya sasa mpaka yanakuja kutamkwa mbele ya Waziri Mkuu?
 
Inakuwaje Kidata hayaoni haya sasa mpaka yanakuja kutamkwa mbele ya Waziri Mkuu?



Kwa sasa ni ngumu kuthibitisha kama madai yale yana ukweli kiasi gani au la !

Wengi waliongea kwa mihemko zaidi than facts.

Sasa watu wanakataa hadi kutumia mashine za kutokea receipts unawaonaje?

In the first place ni kutaka udanganyifu?

EFD receipts hawataki kutoa na enforcement hawataki?! [emoji848][emoji848]

Hivi kuna u-serious kweli kwenye hilo?

Bongo kazi ya kukusanywa kodi ikifanyika kama Kenya hali itakuwa ngumu maradufu kuliko sasa.

Hao wakariakoo washukuru hali ilivyo sasa , afadhali ni kubwa mno.

Hata hivyo nilisikia amekuwa akichukua hatua Na kufanyia kazi Maswala ya ukiukwaji wa maadadili, ni jambo endelevu sizani kwamba alikuwa amekaa tu bila kuwa na mikakati ya kudhibiti.
 
Rais Samia alikwisha piga marufuku kudai hizo kodi accumulated zaidi ya miaka 2
Ni miaka mitano sio miwili, mitano kwenda nyuma kuanzia siku aliyotoa tamko hilo.

Japo Rais hana mamlaka kusimama jukwaani kufuta kodi! Ukimpa Rais au watendaji wa umma mamlaka ya kufuta kodi kwa mdomo basi mmewapa pia mamlaka ya kutunga kodi kwa mdomo!

Hawa marais wakiwa nyumbani kwao huwa wanatucheka sana tulivyo mambumbumbu wa dunia, yani tunamwongezea kiongozi madaraka ya mdomo ambayo kimakaratasi hana! Ndio maana maafisa wa TRA wanawaambia wafanyabiashara amri za majukwaani ni kauli za uongo, hadaa za wanasiasa.

Kwa hiyo, kwa tamaduni za kodi za Tanzania, ukikwepa kodi miaka miwili mpaka mitano, deni linaenda linapotezewa kwa huruma ya Rais mpya! Biashara ikikushinda kwa kodi achana nayo fanya mengine baadae ibuka tena itakuwa imesamehewa, ndio hicho Samia alichonuia kuki encourage ??? Hakuna nchi inayoendeshwa hivyo!

Tunalalamika tunataka Katiba Mpya ya kupunguza mamlaka ya Rais wakati huo huo tunampa madaraka ambayo hata kwenye Katiba ya sasa hana!
 
Mh Rais na viongozi wote kwa ujumla embu tungeni adhabu ya kuwanyonga maofisia wanao fanya mambo yakinyama kama haya kweli huyu mwanamke amefanyiwa haya yote kwa fitina hao walio mtengenezea fitina wanajulikana why kukaa kimya?
Naongea yeye hajamsikia kamishna kidata nae taarifa alinazo kuhusu huyo mwanamama zimekaaje? Tumesikia upande 1 huyo mfanyabiashara
 
Kwamba, hivi huyu mama anaweza kuwa na biashara kubwa kiasi gani ya kutoa rushwa ya TZS 30bn au 15bn au 10bn na bado akaendelea ku - survive katika game ya biashara?
Msikilize vizuri. Hajasema aliombwa rushwa ya bilion 30. Na hajatamka neno rushwa. Huyu mleta mada wetu ndio ame introduce rushwa.

Kodi ndio ilikuwa bilioni 30. Amesema "TRA wakatoa assessment ya bilioni 30." Assessment maana yake kodi, sio rushwa. Makadirio ya kodi.

Mfanyabiashara ndio anajua ndani ya makontena 20 kulikuwa na nini. Na ndio maana wala hakubisha kiasi cha kodi, yeye kasema "sikuwa na hela." She knows what she brung to the country. Ni hadithi ya upande mmoja wa mfanyabiashara. Hatujasikia claims za TRA.
 
Skandali.....
 
Tunapotaka somo la "KUKURU" liingizwe katika MITAALA ya shule za msingi kwa kushirikiana TAKUKURU-WIZARA YA ELIMU tunamaanisha.....

Tuna safari ndefu bado......
 
Hakika hao TRA wanastahiri kinachowahusu.

Lakini hapo hapo, huyo mama ni sehemu muhimu wa tatizo lenyewe.

Huyu ni mfanya biashara mzoefu, hadi kapata uwezo wa kuingiza kontena zote hizo, ni wazi anao uzoefu kwenye kazi hiyo.

Sasa swali la kujiuliza ni, je, alipoagiza hakujua kwamba mzigo wake ungehitaji kulipiwa ushuru stahiki?

Inavyoonekana, alishakuwa na uzoefu wa njia za mkato, kwa njia moja au nyingine, safari hii kakuta mtu wake hayupo, na waliokuwepo wakaona fursa yao kumtoa upepo.

Haya ndiyo madudu yanayotakiwa kuondolewa kwenye mfumo mzima wa kodi.

Pasiwepo na mtu yeyote kujitungia tu taratibu zake pembeni.

Taratibu zilizopo zifuatwe na ziimarishwe zaidi ili zifanye kazi ipasavyo.

Kodi ya "kukadiriwa na mtu" bila ya mwongozo wa kufanya hivyo unaoeleweka ndiyo njia ya kuvuruga kazi za TRA.
 
Sidhani kama walitaka pesa per ser, japo angetoa pesa wangechukua, mimi nadhani kuna competitor alitaka amtoe Mama Bonge kwenye reli kwa kuwatumia maafisa TRA. Haiingii akilini 30B kodi anatengeneza nuclear kwani?
Sasa hao TRA unazani utaweza kuwatumia bure? Huyo competitor kamwaga noti
 
Wewe hata hujielewi, wale wafanyabiashara wamekiri kukwepa kodi kwasababu kodi sio rafiki. Tanzania kodi ni kubwa mno inabidi waweke kodi rafiki biashara ifanyike bila vikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…