Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa

Yaani wewe ni fala kweli, utaacha watu wakufikirie kuwa ni [emoji304] na jamaa alikupitia. Hapa waliokuwa wana makosa ni watumishi wa TRA wataka rushwa hivyo ulitaka huyo Tajiri aliyebambikwa ndio ashughulikiwe? Unapenda kumtaja kwa sifa bwana ako bila kujua hata mantiki ya hoja. Mchizi we!
 
Hata kwenye magari bado wanapiga iweje calculator ya TRA iseme utalipa 7mln lkn afisa wa TRA anakuongezea 1.5mln maanake ni kwamba kuna wanaongezewa na wasioongezewa
 
Wengi wao hawajui adha wanazozipitia wafabiashara. Wanachojua wao ni kuhesabu pesa zilizoingia kwa siku baada ya kukaridia kiwango cha juu cha kodi. Shame!
Na wao ma officer wanajua kuwa mfanyabiashara anaokota tu pesa hovyo hovyo ndio maana ni rahisi kumfungia mtu biashara hafu alipe Tena Kodi juu. Nchi hii tukibadili namna ya kufikiria na utendaji tutapiga hatua mbele
 
Hata kwenye magari bado wanapiga iweje calculator ya TRA iseme utalipa 7mln lkn afisa wa TRA anakuongezea 1.5mln maanake ni kwamba kuna wanaongezewa na wasioongezewa
Kwenye magari? Inawezekana ila haijanitokea. Anyway kama ipo basi imepungua sana tofauti na kipindi cha ukaguzi wa kutumia macho.
 
Na wao ma officer wanajua kuwa mfanyabiashara anaokota tu pesa hovyo hovyo ndio maana ni rahisi kumfungia mtu biashara hafu alipe Tena Kodi juu. Nchi hii tukibadili namna ya kufikiria na utendaji tutapiga hatua mbele
Matokeo yake ni kwamba bidhaa zitakuwa zikipinda bei siku kwa siku, na wala hakutakuwa na bei maalum, moja, kwa bidhaa ileile.

Mfanyabiashara aliyekadiriwa kodi ya juu, automatically bidhaa yake itakuwa ghali kuliko yule ambaye amebahatika kupata unafuu wa kodi.

Lazima walaji wa mwisho (consumers) wataumia, na ndiyo sababu umaskini unazidi kuongezeka kwa kasi sana nchini.
 
Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa
Tanzania ndio taifa pekee ambalo raia wake hawajui wanataka nini,akija mtu wa kupenda haki wanamuita dikteta,akija mtu mpole na asiyefuatilia ipasavyo watumishi wake madhara yakijitokeza pia wanalalamika[emoji4]

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania kama nchi imeharibika ( rushwa imekuwa kala haki ya waombaji ), hakuna pa kukimbilia karibia kila taasisi imechafuka. Ofisa wengi wa TRA wanapenda kutishia uhujumu uchumi
 
Ndio maana awamu hii mfumuko wa Bei ni mkubwa kupita maelezo, na hela yenyewe mtaani ngumu kupatikana, magufuli aliweza mno ku control mfumuko wa Bei nchini, ila awamu hii Bora liende, wizara ka ya fedha inabidi ipate waziri mwingine design ya Dr Mpango bila hivo Hali ni mbaya mtaani huku
 
Mbona una hasira sana?

Si ndio nyie mlikuwa mnamuita Magufuli akiwatumbua hao watumishi wa hovyo mnasema ana wivu na matajiri?

Ngoja mkomeshwe tena muingezewe kodi mara 200 mataahira nyie
 
Mambo mengi ni mazito, Heri kukaa kimya[emoji3][emoji2221]
Wetu wanajua sana kucomment!Taarifa zilizopo yule mama ni Mjanja Mjanja sana!Hivi tangia lini mfanyabiashara amekuwa rafiki wa kodi?

Taarifa za yule Mama zipo wazi sana muda,bahati mbaya ndio mnamsikia leo!Ni tycoon wa michezo ya kumkwepa zakayo!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari , niliku dm ndugu for emergency
 
Magufuri legacy.
 
Haya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…