Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.

Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Huo ni mtandao mrefu hadi Wizarani
 
Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.

Mbwa kabisa
wewe magu kakuharibu akili sana,hapo kariakoo hizi vurugu za mikodi na task force yote yalianza kipindi cha magufuli na ndicho kipindi wazambia na wacongo wakaacha kuja kununua vitu k'koo,hao wacomoro waliobaki ndio basi jiografi na usafirishaji umekua mgumu kwao ndio maana wamekomaa na k'koo ila walishajaribu mombasa kule issue usafiri wa kwenda comoro ikawaangusha
 
Hatafanywa chochote hiyo ndio Tanzania ya kishenzi ukisia wameshughulikiwa nijulishe,kwani umesahau yule wa kigoma alizungumza mbele ya Majaliwa je alisaidiwa?tatizo la Watanzania ni kwamba wana ugonjwa wa kusahau na akishika 🎤 anafikiri anaigiza mchezo na anasahau kilichompelika kwenye stage ndio sababu watapiga kelele mpaka Yesu arudi hakuna mabadiliko
Ni Tanzania ya kishenzi Kweli Kweli. Ma-CCM yanang'ang'ania Katiba ya Kishenzi na tunaongozwa kishenzi.
 
Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo[emoji35][emoji35][emoji35]
Naangalia hapa Azam, wanasema wamefanya uwekezaji wa Billion 30 kwa ajili ya matangazo ya mpira kwa kwa miaka kadhaa.
Moyoni nikasema mbona hiyo ni kodi ya mama mmoja muuza vitenge Kariakoo?
Yaani hao maafisa waliotumika kumbambika hiyo mama hiyo kodi kama bado leo wako ofisini basi wote tuseme kwa sauti kuu "sisi ni wajinga"
 
Back
Top Bottom