Huo ni mtandao mrefu hadi WizaraniHuyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Sheria hizi mbovu ziliasisiwa na Magufuri mwenyewe.Magufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.
Mbwa kabisa
Kwa kifupi taasisi nyingi au mifumo mingi ipo corrupted kwenye hii nchi .Haya yote yanaletwa na utendaji mbovu wa TAKUKURU, inakuwaje wanaona watumishi wa TRA wanaukwasi wa kutisha katika muda mchache wa utumishi na wako kimya?
Wangekuwa wanachukua hatua watu wangeacha kula rushwa bila woga
Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo[emoji35][emoji35][emoji35]Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo.
Hivi ni vitendo vinavyorudisha nyuma maendeleo ya wafanyabiashara na nchi kwa ujumla. Nashauri vyombo vya dola vishughulike na Meneja TRA wa Mkoa wa Ilala pale Kipata na wengine wote waliohusika
View attachment 2626036
Wewe ndiye wamkumbuka, mfuate Chato ukafukue mifupa. He was equally uselessMtamkumbuka JPM.
wewe magu kakuharibu akili sana,hapo kariakoo hizi vurugu za mikodi na task force yote yalianza kipindi cha magufuli na ndicho kipindi wazambia na wacongo wakaacha kuja kununua vitu k'koo,hao wacomoro waliobaki ndio basi jiografi na usafirishaji umekua mgumu kwao ndio maana wamekomaa na k'koo ila walishajaribu mombasa kule issue usafiri wa kwenda comoro ikawaangushaMagufuli alikuwa akiwashughulikia hao kwa kuwatimua mnasema ana wivu na matajiri.
Mbwa kabisa
🤣🤣Mbona pale alikuwa anauliza “huyu ndo Mama bonge” kama hamjuindiyo huyo huyo
Uhamiaji wadosi wanapewa pasi bila shida tena wengine hata kiswahili hawajui,nenda sasa mswahili na docs zote uone utakavyochezea za usoKuna hapo RITA, Kuna NIDA, Kuna UHAMIAJI
Ni Tanzania ya kishenzi Kweli Kweli. Ma-CCM yanang'ang'ania Katiba ya Kishenzi na tunaongozwa kishenzi.Hatafanywa chochote hiyo ndio Tanzania ya kishenzi ukisia wameshughulikiwa nijulishe,kwani umesahau yule wa kigoma alizungumza mbele ya Majaliwa je alisaidiwa?tatizo la Watanzania ni kwamba wana ugonjwa wa kusahau na akishika 🎤 anafikiri anaigiza mchezo na anasahau kilichompelika kwenye stage ndio sababu watapiga kelele mpaka Yesu arudi hakuna mabadiliko
Hujiona miungu watu kuwa wanawezafanya loloteNa mtu atalipaje billion 30 huku umemfungia mzigo wake hafanyi biashara, ujue Huwa sielewi hao TRA hufikiria Kwa kutumia Nini?
Waweza hata kupotezwa hivi hiviHujiona miungu watu kuwa wanawezafanya lolote
Ipo kwenye free fall object ,nikampa hii. Nch mama yangu anaweza kuongoza vizuri kuliko samia wallahNchi imemshinda mama wa unguja.
2025 utatambua uhalisia
Okay ngoja nikutextHabari , niliku dm ndugu for emergency
Nani wa kufanya hilo ikiwa raisi mwenyewe ndo huyuTuanze na aliyempigia simu usiku kuwa akachukue mzigo wake, chain irudi nyuma nyuma hadi kwa maafisa wengine, mchawi tutamfikia tu watatajana!!
Ni huzuni Kwa kweli na watu wapo maofisini wanakula mishahara bureKwa sehemu ni failed state. Hatuna pa kukimbilia, ushahidi yaliyotokea jana hadi mda huu wanatafuta kuokoana
Naangalia hapa Azam, wanasema wamefanya uwekezaji wa Billion 30 kwa ajili ya matangazo ya mpira kwa kwa miaka kadhaa.Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia mkutano wa PM wakamuita akatoe mzigo[emoji35][emoji35][emoji35]
Ni syndicate mkuu bosi huwa si anapew fungu LakeNadhani hata Commissioner General Alfayo Kidata naye HATOSHI kwenye nafasi hii. Kwa nini tuwalalamikie watu wa chini yake tu? Kwanini yote haya mpaka yanamfikia PM bila yeye kuwa na taarifa?
Kidata awajibishwe