Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma, chagua CCM 2020 yakukute ya wastaafu wa leo

Hakuna chama mbadala!
 
Mkuu umeandika vizuri Je nichama gani ambacho wewe unakiona kinaweza endesha nch
 
Kwa hiyo unashaurije? Maana CCM imeshindwa na unaona hakuna chama mbadala na haiwezekani kuendelea na walioshindwa maana ni kuelekea kwenye kifo chetu!
Au unashauri itumike njia ya Sudan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sanduku la kura ndio muamuzi oktoba njia ya kidemokrasia kama umechoka hamia huko ulikokutaja!
 
Sisiemu ni kichomi, wapinzani wote hasa CHADEMA ni matapeli wakubwa sasa sijui tutafanyaje daa!
 
Yani mtu amefanya kazi kwa miaka mingi huku akikatwa na kuchangiwa na mwajiri wake kwa mujibu,
Sasa amestaafu badala ya kulipwa haki yake sasa anaambiwaje [emoji15][emoji15]

Mimi mbona naona kama ni kufikirika?!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna chama gani cha kuchaguliwa zaidi ya CCM?
Umeandika kama vile hao wanabeba asilimia kubwa ya kuamua matokeo.. pole yako.

Nendeni mkajipange sio kutisha na yenu..
 
Katika umri mtu anapokuwa amestaafu hapaswi kuwa na msongo wa mawazo.

Sasa kuchelewa kupata Mafao kwa wakati si itawazidishia zaidi msongo wa mawazo hao wazee wa watu?!

Nashauri wafikiriwe mara mbili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini kijani
 
Kimsingi haihitaji degree kujua vile watumishi wanavyofiiria. Ila wamekuwa watulivu na wasikivu wakisikikiza kinachofuata.
Ila kwa machache yaliyofanyika ktk kipibdi hiki watumishi wamesahaulika. Hali zao Mbaya sana.

Naomba Serikali iwafikrie kwa huruma tu wastaafu. Wanasumbuliwa zaidi ya mwaka bila kupata chochote huku famioa zikiendelea kuadhirika na kukosa heshima mtaani. Wanakopa balaaa halafu hawalipi.
Serikali ihakikishe mtumishi unapokoma mshahara wake mwezi unaofuata apokee pension huku akisubiri burungutuambalo nalo hakuna sababu ya kusubiri mwaka mzima. Yaani wanataabika sana wkt Serikali yetu inasema na hela za kuwaza kuhudumia hata miezi 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Mdoe amekufa kwa njaa akisotea mafao yake kwa miaka mitatu mfululizo bila mafanikio.

Namuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake
Mdoe yupi huyo?Asije kuwa yule aliyenifundisha pale Wailes P/School,Temeke.

Mungu ampe pumziko la amani na wakati huo amlaaani Jiwe na washamba wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…