Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Chama tawala ni madudu. Chadema na vyama vingine vya upinzani ni madudu zaidi. Sasa sijui tukimbilie wapi Mana mpaka sasa tupo njia panda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezaje kusema kuwa vyama vingine vya upenzani ni madudu zaidi?
Je walishapewa nafasi ya uongozi waka ikikathibitika kuwa wameshindwa?
wapeni nafasi ya miaka 5 -10 tuone wataweza au watashindwa?!
Wakishindwa tutachagua kingine kama wanavyofanya nchi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app