Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma, chagua CCM 2020 yakukute ya wastaafu wa leo

Plus ishu ya kikotooo yaani kukopwa hata kile kidogo ukitegemeacho.
Watumishi wa umma ikiwemo vyombo vya dola wanayo nafuu kubwa ya kuamua hatma ya kustaafu kwao kama hawakujifunza miaka hii 5.Naomba kama awajajifunza wakarudia makosa kipindi cha pili walimie kucha kabisa,yaani mateso yaongezwe Mara 20 zaidi ya awamu ya kwanza.Yaani wakose hata uwezo wa kupanda daladala yaani wasagie meno,ni bora ya maiti zinajitambua.
 
Tena mapolisi na walimu ndio hawajitambui kabisa ccm haijawa na fadhila kwao lakini ndo wanaongoza kuisaidia kama wamerogwa vile
Kama wewe unaona haina fadhila kwao halafu wao wanaona ni bora waichague basi kubali kuna kitu kuhusu uhusiano wao haukijui. Labda wewe kwa kutojua sababu ndio haujitambui.
 
Kama wewe unaona haina fadhila kwao halafu wao wanaona ni bora waichague basi kubali kuna kitu kuhusu uhusiano wao haukijui. Labda wewe kwa kutojua sababu ndio haujitambui.
Wananufaika na nn wako hoi kilife kuliko muuza machungwa posta
 
Nani kama JPM? Hakuna, hao kina TL, Mbowe na Zito ni makuwadi, wamekwisha pumuliwa kwenye shigo zao wataweza kweli kuwaletea maendeleo Watanzania? Ukiona kiongozi anajiuzauza kwenye nchi za nje kama malaya kwenye bar muogope kama ukoma.
 
Pemba yupo pole pole basi wameagizwa wafanya kazi wote kesho wasiendekazini na wanafunzi wasiende shule kwahiyo watumishi wote wa serekali waende ktk mkutano atakao Fanya pole pole ktk ukumbi wa baraza la wakilishi lililopo jamatini wete Pemba kesho asubuhi saa 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo leo umeongea vizuri.
 
Wanavuna bila kupanda na kujisifu kwamba wanaweza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harafu juzi kativ wakaambiwaa kuwaa hawadaiiii selekali
Kumbuka dana dana waliopigwa waastafu wa EAC kuhusu mafao baada ya kuvunjika jumuiya ya mwanzo. Siyo binaadamu hawa.

Don't make a promise you can't fulfill...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…