Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Chama tawala ni madudu. Chadema na vyama vingine vya upinzani ni madudu zaidi. Sasa sijui tukimbilie wapi Mana mpaka sasa tupo njia panda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kama sio wife material sio lazima uoe ndio ujue hilo.Unawezaje kusema kuwa vyama vingine vya upenzani ni madudu zaidi?
Je walishapewa nafasi ya uongozi waka ikikathibitika kuwa wameshindwa?
wapeni nafasi ya miaka 5 -10 tuone wataweza au watashindwa?!
Wakishindwa tutachagua kingine kama wanavyofanya nchi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye Maada..Nani kama JPM? Hakuna, hao kina TL, Mbowe na Zito ni makuwadi, wamekwisha pumuliwa kwenye shigo zao wataweza kweli kuwaletea maendeleo Watanzania? Ukiona kiongozi anajiuzauza kwenye nchi za nje kama malaya kwenye bar muogope kama ukoma.
Safari ya matumaini bado ipo eeh!Lowasa wakimtumia atawashauri ana plans nyingi za kweli na udhoefu ni tofauti na wengi walivyoaminishwa
Mtu kama sio wife material sio lazima uoe ndio ujue hilo.