Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
CHADEMA
Huyu mdau ni mzalendo wa kweli.. mtafuteni awape mwanga juu ya yale yanayojiri huko, hata anonymously kupitia humu jukwaani
 
Wasimamizi wamekula viapo vya kutupilia mbali itikadi za vyama vyao, wapo chamaless hadi zoezi la uchaguzi liishe! Ila bila kutumia mihemko unadhani hao wasimamizi watafuta tick za Hashim Rungwe na kuzihamishia kwa Magufuli?
 
Mbona walimu wanalaana tayari
hawana maendeleo wananuka mikopo tu madukani hadi chumvi ya 400/= wanakopa
Hatujavuka mto tusitukane mamba - hata kama wamechukuliwa unajua moyoni mwao wanawaza nini??

Unataka wajitangaze?
Mawakala wenu wakilala watavuna usingizi
 
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.

Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa

Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo

Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa

Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!

Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-

1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani

2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala

3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala

4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi

5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!

Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui

Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!

Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Neno kuntu, mbeleko zote zimeandaliwa kumbeba mchato, bt wote watakaohusika watapata tabu sana atakapoingia tena madarakani.
 
Msihofu haki itatendeka kwa wasimamizi
 
Yaani ni kweli kabisa yaani watu wa TISS kwa kushirikiana na makada wakubwa yaani MaRC, maDC, MaRAS, MaDAS na wengine wamefanya hivyo.

Yaani ni makada na wale wanaoitetea CCM waliopewa nafasi kuna maafisa maendeleo kata (CDOs) wengi yaani unaambiwa hata akija mtu asiyejua kusoma na kuandika akaomba kusaidiwa kura yake iangukie kwa jiwe, mbunge na diwani wa mboga mboga.

Yaani wamechagua watumishi wakiwatisha kuwa lazima watetee serikali iliyopo madarakani na sio karani, sio msimamizi msaidizi, msimamizi wa kituo wote ni waliofanyiwa vetting ya hali ya juu kama ulivyosema.

Na hofu yao kubwa ni kazi zao na pia hizo posho ndogo watakazolipwa. Yaani walaaniwe kwa hiki wanachoenda kukifanya.
 
Utopolo kichwani, heri ungekaa kimya usubiri dawa iingie vizuri.
 
Wewe sema una hasira ya kukosa nafasi ya usimamizi tu,mimi ni mtumishi wa umma nitasimamia uchaguzi huu kwa ngazi fulani na nitatenda haki, na kwenye jimbo langu hakuna maelekezo yaliyotoka yanayoendana na uliyoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni kweli kabisa yaani watu wa TISS kwa kushirikiana na makada wakubwa yaani MaRC, maDC, MaRAS, MaDAS na wengine wamefanya hivyo.

Yaani ni makada na wale wanaoitetea CCM waliopewa nafasi kuna maafisa maendeleo kata (CDOs) wengi yaani unaambiwa hata akija mtu asiyejua kusoma na kuandika akaomba kusaidiwa kura yake iangukie kwa jiwe, mbunge na diwani wa mboga mboga.

Yaani wamechagua watumishi wakiwatisha kuwa lazima watetee serikali iliyopo madarakani na sio karani, sio msimamizi msaidizi, msimamizi wa kituo wote ni waliofanyiwa vetting ya hali ya juu kama ulivyosema.

Na hofu yao kubwa ni kazi zao na pia hizo posho ndogo watakazolipwa. Yaani walaaniwe kwa hiki wanachoenda kukifanya.
Mkuu kwanza naomba niseme kwa upande wangu sina chama chochote na sina mkumbo wa kushabikia chama ila kura huwa ni siri yangu, haya unayosema si kweli maana kuna wengine wamepata na sio wafuasi wa CCM

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa bahati mbaya sana hao wote mishahara yao ni duni sana hivyo nao maumivu wameyapata
 
Ngoja nitoe laana yangu moja kwa moja,

Kwa yeyote ataepokea pesa na kuzitumia kwa furaha pesa hizo alizopewa kwa kusudi la kupotosha matokeo ya idadi ya kula (kuongeza kula upande wa CCM) namlaani apate dhiki ya kukaukiwa na pesa katika maisha yake, akose hela katika siku zake za usoni na aishi kwa mikopo na madeni hadi pale atakapo kili kosa lake mbele za watu na kuomba msamaha kwa Mungu mwenyezi.
ndo kwanza hata sku ya kura bado mshaanza kutoa laaana
 
Kuna mdau mmoja kaniambia tangu tarhe 27 ile baada ya kuisha muda wa kutuma maombi wakaanza kufanya mchakato bt sijui ni kweli au laa
 
Sitasahau siku mkuu wa wilaya ya magu sijui nani jina ,nimesahau.aliitusha mkutano kukutana na walimu wote ktk shule ya sekondari bukandwe.walimu wakata za kisesa, bukandwe na zungine wakakutana pale. Huyo mkuu wa wilaya hakuwa na jingine zaidi ya kuwatukana walimu.namnukuu " kuna walimu hapa ni mafala, unamshabikiaje tunsu kissu wakati mshahara unalipwa na serikali? Wakati wa korona kuna mwl yeyote hakulipwa mshahara?sasa ole wanu mchague huyo lisu wenu muone kama hamtahamishiwa mahaha huko(kijijini)" kwa kweli uwalimu kazi!
 
Hao wote wanao tegemewa kufanya hivyo... Wana miaka 5 mishaharara yao Ni ileile haijapanda zaidi ya maumivi ya makato ya bodi ya mikopo ya elimu.... nao Wana Jambo lao...
Kweli.. itakuwa wanawasanifu tu hao watoa maagizo, afu wanafanya kweli
 
Police na walimu ndio kada inayoongoza kuishi maisha magumu Sana lkn ndio inayoisaidia ccm kwenye hujuma zote za wizi wa kura halafu ndio wanaongoza kulia ugumu wa maisha. Upo uhusiano wa umasikini na uwezo wa kufikiri.
Police na walimu wa shule za msingi wanashangaza sana!
 
Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Wala hakuna haja ya kuwasubiri walalamike! Watakaosimamia uchaguzi na tukajiridhisha kwamba wamechakachua matokeo yetu tuwabane huku mtaani mpaka wasipumue na familia zao. Ikiwezekana kila baada ya siku mbili tulie matanga! Haiwezekani kuwa tunadhulumiwa kijinga kijinga hivi tunaangalia tu. Hii itawakumbusha kwa uchaguzi ujao hawatathubutu! MUKIRU itapakae nchi nzima!
 
Back
Top Bottom