Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma hasa maafisa utumishi, Maafisa watendaji kata na Walimu mtapata laana ya Watanzania uchaguzi huu wa 2020

Ushahidi kutoka kwa msimamizi mkuu wa kituo fulani (jina linahifadhiwa) anasema, "Nilitafuta makada wa CCM kama mawakala wa vyama vya siasa vingine, maana vyama vingi havikuweka mawakala katika vituo. Kwa hiyo, walioapishwa kama mawakala wa vyama vingine ukiwaondoa wa Chadema, hawakuwa mawakala wa vyama husika, bali makada wa CCM. Wakala wa Chadema alipotoka kwenda kujisaidia, akiamini kuwa mawakala wa vyama vingine watalinda kura, ndipo tulipopata nafasi ya kutumbukiza kura bandia zenye tiki tayari kwa wagombea wa CCM ndani ya masanduku...vilevile nimepiga hela safari hii, we wacha tu, nashukuru."

Mmoja wa mawakala wa Chadema anakiri, "Nilinyooshewa bunduki na kuamuriwa nitoke katika chumba cha kupigia kura... Nikaondoka niokoe maisha yangu."
 
Mpumbavu hawezi elimika kamwe...
Kama huo ualimu ni laana, basi na wewe bila shaka una laana! Maana hata hao wazazi wako waliokuleta hapa duniani nao ni walimu! Na ndiyo walio kufundisha kula na pia kwenda chooni kunya.

Au kwa akili yako unadhani mwalimu ni yule mtu anayefundisha tu darasani?
 
Mbona walimu wana laana tayari
hawana maendeleo wananuka mikopo tu madukani hadi chumvi ya 400/= wanakopa
Wewe bado unaonekana kuwa na akili za kitoto sana! kutokana tu hiki ulicho kiandika. Ukitaka ufafanuzi zaidi niambie tu ili nirudi kuja kukufafanulia.
 
Wameanzwa na TIN namba, then wataanza kukopwa mishahara pindi beberu akikata misaada. Naona wabunge wameanza kulalamika pesa ya kununua magari ni ndogo. Tutaimba wote wimbo wa Mussa, ngoja beberu akaze nut
 
Back
Top Bottom