8691jakigili
Senior Member
- Mar 30, 2012
- 179
- 67
Ushahidi kutoka kwa msimamizi mkuu wa kituo fulani (jina linahifadhiwa) anasema, "Nilitafuta makada wa CCM kama mawakala wa vyama vya siasa vingine, maana vyama vingi havikuweka mawakala katika vituo. Kwa hiyo, walioapishwa kama mawakala wa vyama vingine ukiwaondoa wa Chadema, hawakuwa mawakala wa vyama husika, bali makada wa CCM. Wakala wa Chadema alipotoka kwenda kujisaidia, akiamini kuwa mawakala wa vyama vingine watalinda kura, ndipo tulipopata nafasi ya kutumbukiza kura bandia zenye tiki tayari kwa wagombea wa CCM ndani ya masanduku...vilevile nimepiga hela safari hii, we wacha tu, nashukuru."
Mmoja wa mawakala wa Chadema anakiri, "Nilinyooshewa bunduki na kuamuriwa nitoke katika chumba cha kupigia kura... Nikaondoka niokoe maisha yangu."
Mmoja wa mawakala wa Chadema anakiri, "Nilinyooshewa bunduki na kuamuriwa nitoke katika chumba cha kupigia kura... Nikaondoka niokoe maisha yangu."