antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
CHADEMAKuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Hatujavuka mto tusitukane mamba - hata kama wamechukuliwa unajua moyoni mwao wanawaza nini??Mbona walimu wanalaana tayari
hawana maendeleo wananuka mikopo tu madukani hadi chumvi ya 400/= wanakopa
Neno kuntu, mbeleko zote zimeandaliwa kumbeba mchato, bt wote watakaohusika watapata tabu sana atakapoingia tena madarakani.Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa watumishi na wengineo.
Pili wote waliopitishwa wamepitishwa baada ya mchakato mrefu sana wa kuwachuja na kujiridhisha kuwa waliopita wamekubaliana na wanaelewa maana ya wao kuchukuliwa na wengine kuachwa
Kwa asilimia kubwa wasimamizi vituoni waliochaguliwa ni wale tu ambao wanaonekana kuwa makada ,wamekubalia kutembea ndani ya maagizo waliyopewa na maafisa watendaji wa kata na wameonekana kukubali na kuelewa somo hilo
Hakuna msimamizi wa uchaguzi wa kituo aliyepata nafasi hiyo bila afisa mtendaji kata kujiridhisha kuwa anaelewa lengo la yeye kuwa pale na mwingine kuachwa
Tumaini pekee la kuhakikisha matokeo yatakayotangazwa yatakuwa halali limebaki kwa mawakala wa vyama!
Kwa machache niliyoyaona katika mchakato wa kuwapata wasimamizi wa uchaguzi vituoni katika Jimbo fulani, nadiliki kusema yafuatayo:-
1. Kesi za uchaguzi zitakuwa nyingi sana mahakamani
2. Majimbo mengi madiwani wote watakuwa chama tawala
3. Asilimia 99.9 ya wabunge watakuwa chama tawala
4. Baadhi ya majimbo wakurugenzi, afisa watendaji kata watatumbuliwa baada ya uchaguzi
5. Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo
NOTE: NAMAANISHA YULE ALIYESIMAMIA UCHAGUZI!
Na mwisho kabisa niseme tu, ni ngumu sana Tanzania kupata matokeo halisi yaliyotoka kwa wapiga kura! Kuanzia Jumatatu iliyopita hadi Jana jumapili ya tarehe 25.10.2020 nimejifunza mengi sana kuhusu uchaguzi huu. Kuna mengi sana yanayoendelea yahusuyo uchaguzi wananchi wa kawaida na viongozi wa upinzani hawajui
Kuna mkakati mzito sana uliohusisha vitisho umeanzia chini kabisa kwenye ngazi ya kata hadi juu ulishawekwa na unaonekana kufanikiwa kwa asilimia kubwa sana!
Yangu ni hayo tu, tukutane baada ya matokeo kutangazwa! Kapiga kura kutimiza wajibu wako. Asanteni![emoji120]
Msihofu haki itatendeka kwa wasimamiziMchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Utopolo kichwani, heri ungekaa kimya usubiri dawa iingie vizuri.Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!

Ficha ujinga na wewe,huoni aibu???Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,halafu watumishi hawana vyama ndiomaana wanachukuliwa kusimamia uchaguzi
Loosers jobUalimu ni laana
Mkuu kwanza naomba niseme kwa upande wangu sina chama chochote na sina mkumbo wa kushabikia chama ila kura huwa ni siri yangu, haya unayosema si kweli maana kuna wengine wamepata na sio wafuasi wa CCMYaani ni kweli kabisa yaani watu wa TISS kwa kushirikiana na makada wakubwa yaani MaRC, maDC, MaRAS, MaDAS na wengine wamefanya hivyo.
Yaani ni makada na wale wanaoitetea CCM waliopewa nafasi kuna maafisa maendeleo kata (CDOs) wengi yaani unaambiwa hata akija mtu asiyejua kusoma na kuandika akaomba kusaidiwa kura yake iangukie kwa jiwe, mbunge na diwani wa mboga mboga.
Yaani wamechagua watumishi wakiwatisha kuwa lazima watetee serikali iliyopo madarakani na sio karani, sio msimamizi msaidizi, msimamizi wa kituo wote ni waliofanyiwa vetting ya hali ya juu kama ulivyosema.
Na hofu yao kubwa ni kazi zao na pia hizo posho ndogo watakazolipwa. Yaani walaaniwe kwa hiki wanachoenda kukifanya.
ndo kwanza hata sku ya kura bado mshaanza kutoa laaanaNgoja nitoe laana yangu moja kwa moja,
Kwa yeyote ataepokea pesa na kuzitumia kwa furaha pesa hizo alizopewa kwa kusudi la kupotosha matokeo ya idadi ya kula (kuongeza kula upande wa CCM) namlaani apate dhiki ya kukaukiwa na pesa katika maisha yake, akose hela katika siku zake za usoni na aishi kwa mikopo na madeni hadi pale atakapo kili kosa lake mbele za watu na kuomba msamaha kwa Mungu mwenyezi.
Sawa, hiyo ndo kanuni.. lkn tangu lini ccm wakafuata kanuni?!Ulisemalo sio kweli, Kwanza kusimamia uchaguzi hautakiwi uwe kada wa chama chochote,
Kweli.. itakuwa wanawasanifu tu hao watoa maagizo, afu wanafanya kweliHao wote wanao tegemewa kufanya hivyo... Wana miaka 5 mishaharara yao Ni ileile haijapanda zaidi ya maumivi ya makato ya bodi ya mikopo ya elimu.... nao Wana Jambo lao...
Police na walimu wa shule za msingi wanashangaza sana!Police na walimu ndio kada inayoongoza kuishi maisha magumu Sana lkn ndio inayoisaidia ccm kwenye hujuma zote za wizi wa kura halafu ndio wanaongoza kulia ugumu wa maisha. Upo uhusiano wa umasikini na uwezo wa kufikiri.
Wala hakuna haja ya kuwasubiri walalamike! Watakaosimamia uchaguzi na tukajiridhisha kwamba wamechakachua matokeo yetu tuwabane huku mtaani mpaka wasipumue na familia zao. Ikiwezekana kila baada ya siku mbili tulie matanga! Haiwezekani kuwa tunadhulumiwa kijinga kijinga hivi tunaangalia tu. Hii itawakumbusha kwa uchaguzi ujao hawatathubutu! MUKIRU itapakae nchi nzima!Baada ya uchunguzi, ukikutana na mwalimu aliyesimamia uchaguzi akawa analalamikia serikali kutotimiza baadhi ya haki zake ukiweza mtukane, mkejeli au mchape kofi dogo