Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Ni kweli uwezo huo sina. Wewe unaweza kujadiliana na wehu?
Mwana wa laana ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli uwezo huo sina. Wewe unaweza kujadiliana na wehu?
Tuko pamoja hapa, na inatakiwa waliopo kazina ufanyike uhakiki upyaGood point
😳Kwan tumekukosea nn jamanSorry, naomba niishie hapa huwa sijadiliani jambo lolote na mwalimu.
Nisamehe baby wangu, navyokupenda sasa.[emoji15]Kwan tumekukosea nn jaman
❤️daa,we jamaa una ulimi laini balaa🥰 yaan moyo wangu umetulia ghafla,mihemko ya hasira imeniisha.😜aisee🙌Nisamehe baby wangu, navyokupenda sasa.
Kuna mtu alikuja kuniletea dharau huko juu, shida mpo wengi humu na wengine wamekua kama wehu. Nisamehe sana
Hayo ndio mambo sasa, Mimi na wewe tu. Navyokupenda hujui tu. Nakupenda alafu nakupenda tena[emoji3590]daa,we jamaa una ulimi laini balaa[emoji3059] yaan moyo wangu umetulia ghafla,mihemko ya hasira imeniisha.[emoji12]aisee[emoji119]
🤣🤣🤣🤣 Haya bhanaHayo ndio mambo sasa, Mimi na wewe tu. Navyokupenda hujui tu. Nakupenda alafu nakupenda tena
Mkangale?Nimekumbuka kwetu namanyereView attachment 2295823
🤣🤣🤣🤣 watachekaaaaaaMwl wa TGTS F jiandae kwà 280,000
Lile Jambo letu ktk TGTS kwa kuongeza kama ifuatavyo:
B - 62000
C - 60000
D - 55000
E - 50000
F - 45000
G - 30000
H - 25000
I -. 20000
Tunampongeza,kazi iendelee.
Ni vizuri kujua kilichopo kapuni[emoji12].
Kazi iendelee
#MaendeleoHayanaChama
Wengine watalewa sana na bia zao zle za kibanda na mbuyu naona watakunywa Heineken[emoji1][emoji1]huu mshahara mpaka ukija kutoka tutasikia mengi sana aisee
Hukoo vilio tupuu[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Tupeni ripoti vipi mnacheka ama mnalia.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu, hata hiyo 50 haijafika!Lile Jambo letu ktk TGTS kwa kuongeza kama ifuatavyo:
B - 62000
C - 60000
D - 55000
E - 50000
F - 45000
G - 30000
H - 25000
I -. 20000
Tunampongeza,kazi iendelee.
Ni vizuri kujua kilichopo kapuni[emoji12].
Kazi iendelee
#MaendeleoHayanaChama