- Thread starter
- #201
Hope hiyo ndo habari yenyeweUpo idara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hope hiyo ndo habari yenyeweUpo idara gani?
Sorry, naomba niishie hapa huwa sijadiliani jambo lolote na mwalimu.Mwalimu..
ushauri wangu mwambie akopee hiyo pesa haraka, hata wakija kugundua kwao inakua too late..atarudisha taratibu lkn atakua ameshapata faidaKuna mwalimu mmoja kutoka katika halmashauri X, Yeye aliajiriwa mwaka 2017 akianza na TGTS C, Mwezi mei mwaka huu kapanda daraja kutoka C hadi G ...Asee kuna mijitu ina bahati ile mbaya saiv Basic inasoma 1.6M na vi senti huko....japo Sijajua kama inaweza kumletea shida hii.
Dharau zikizidi huwazinakuwa dhereu, zikizidi Sana zinakuwa madhereu.Sorry, naomba niishie hapa huwa sijadiliani jambo lolote na mwalimu.
Mkuu binadamu wote ni sawa na Africa ni mojaSorry, naomba niishie hapa huwa sijadiliani jambo lolote na mwalimu.
Sina dharau na sijawahi kuwa na dharauDharau zikizidi huwazinakuwa dhereu, zikizidi Sana zinakuwa madhereu.
They are psychopathsMkuu binadamu wote ni sawa na Africa ni moja
Mshahara hauoni giza mbili[emoji28]Hii tetesi ya 50,000/= nimeipata from a very verified source..
Inasikitisha sana. Tumepigwa na kitu kizito sanaa..
Sikulazimishi uamini kile ninacho kisema boss wangu. Umeshinda.Kuhusu kifo hakuna ambae alikua anajua Ila kwa kuwa hakuonekana hadharani ndio wakaanza kusema hivyo.
Hata 2019 ilitokea pia hivyo, au unataaka kusema Magufuli alikufa mara mbili 2019 na 2021??
Ni sawa na Leo mama Samia asionekane hadharani wiki mbili, unafikiri wale wapinzani wake wataanza kusemaje?
...Hueleweki!...Kuna waliiba Hela benki wakashindwa kuhesabia mwenzao Moja akawaps ushauri wezi wenzake akasema tusubiri taarifa ya jabari saa mbili usiku, halafu umkute rpc wa kisiasa lazima ataje kiasi kikubwa Ili mgombane wezi huko mlipo na kwa mwigulu unaweza Kufanya hichi kuwa alichoingeza ni bajeti ya mshahara kwa hiyo asilimia hii imepanda kutokana na ajira mpya
... Hivi Wazee Wastaafu' na Wao hii Asilimia 23.3 inawahusu? Ama Wao Pensheni Yao Inabaki pale pale??Usichokijua ni kuwa watumishi wengi tu wa umma waliokuwa mifuko ya PPF na NSSF kabla ya kuhamishiwa PSSSF walikuwa na kikokotoo cha asilimia 25 hadi hiyo june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo kipya cha asilimia 33 ni kicheko sana. Kilio ni kwa watumishi wa umma waliokuwa LAPF na PSPF kabla ya kuhamishiwa PSSSF, hawa walikuwa na kikokotoo cha asilimia 50 hadi june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo cha asilimia 33 ni kilio na kusaga meno!!
...Usipige TU Debe, Subiri Uzishike Kwanza!...ONGEZEKO litakuwa kubwa sana hata kwa asilimia 10 tu kwa wanaopata zaidi ya milioni moja ongezeko la 10% ni sh 100,000/=. Kusema ukweli katika hili mama ameupiga mwingi sana!!
Kwamba Mwalimu siyo saizi yako katika mijadala!Sorry, naomba niishie hapa huwa sijadiliani jambo lolote na mwalimu.
Haujatoka boss ila watu wanadeal na Payroll kwakuwa ishatokaKwani mzigo ushatoka?
Hua inatokea ishawahi tokea kwa mwl Mmoja mtwara alitoka C mpk G enzi hizooo,yaani alikua anapewa mshahara mkubwa ,akaandika barua kwa Afisa utumishi haikufanyiwa kazi ,kuanzia 2009 mpk 2013 alikua anakula mshahara wa G tuu,mpk akaja afisa utumishi mpya alivyokua anapandishwa kutoka C kwenda D ndo wakakuta Hilo Kosa,uzuri alivyoitwa katika file lake wakakuta barua za kuomba arejeshwe cheo chake halisi Cha D ,Ila for 3yrs alikua anakula shushu tuu!ndo akashushwa from G to E Ila aliyumba mnoo!!maana miaka mi3 unakula salary kubwa afu unashuka Tena,Ila barua ndo zilimlinda.Kakupiga fix huyo. Hakuna kitu kama hicho. Nini kimemfanya hadi kuvushwa hivyo?
Inategemea mkuu mi kuna mtu namjua amekula mshahara wa tgts g wakt alikuwa f2 kwa miaka tang 2016 had wamepandishwa mwaka jana ndo anaendelea nao bila shidaItamletea shida Sana ,la awe ameandika barua kurudisha cheo chake anachostahiki !
Afu halmashauri waee hawajafanyia kazi hapo haitasumbua Ila kama kakaa kimya atafurahia shoo mbona!atacheua Senti zote alizokula
Sasa hapo utabisha nn?Sikulazimishi uamini kile ninacho kisema boss wangu. Umeshinda.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app