Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Watumishi wa Umma kucheka au kulia

Kuna mwalimu mmoja kutoka katika halmashauri X, Yeye aliajiriwa mwaka 2017 akianza na TGTS C, Mwezi mei mwaka huu kapanda daraja kutoka C hadi G ...Asee kuna mijitu ina bahati ile mbaya saiv Basic inasoma 1.6M na vi senti huko....japo Sijajua kama inaweza kumletea shida hii.
ushauri wangu mwambie akopee hiyo pesa haraka, hata wakija kugundua kwao inakua too late..atarudisha taratibu lkn atakua ameshapata faida
 
Kuhusu kifo hakuna ambae alikua anajua Ila kwa kuwa hakuonekana hadharani ndio wakaanza kusema hivyo.
Hata 2019 ilitokea pia hivyo, au unataaka kusema Magufuli alikufa mara mbili 2019 na 2021??
Ni sawa na Leo mama Samia asionekane hadharani wiki mbili, unafikiri wale wapinzani wake wataanza kusemaje?
Sikulazimishi uamini kile ninacho kisema boss wangu. Umeshinda.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna waliiba Hela benki wakashindwa kuhesabia mwenzao Moja akawaps ushauri wezi wenzake akasema tusubiri taarifa ya jabari saa mbili usiku, halafu umkute rpc wa kisiasa lazima ataje kiasi kikubwa Ili mgombane wezi huko mlipo na kwa mwigulu unaweza Kufanya hichi kuwa alichoingeza ni bajeti ya mshahara kwa hiyo asilimia hii imepanda kutokana na ajira mpya
...Hueleweki!...
 
Usichokijua ni kuwa watumishi wengi tu wa umma waliokuwa mifuko ya PPF na NSSF kabla ya kuhamishiwa PSSSF walikuwa na kikokotoo cha asilimia 25 hadi hiyo june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo kipya cha asilimia 33 ni kicheko sana. Kilio ni kwa watumishi wa umma waliokuwa LAPF na PSPF kabla ya kuhamishiwa PSSSF, hawa walikuwa na kikokotoo cha asilimia 50 hadi june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo cha asilimia 33 ni kilio na kusaga meno!!
... Hivi Wazee Wastaafu' na Wao hii Asilimia 23.3 inawahusu? Ama Wao Pensheni Yao Inabaki pale pale??
 
ONGEZEKO litakuwa kubwa sana hata kwa asilimia 10 tu kwa wanaopata zaidi ya milioni moja ongezeko la 10% ni sh 100,000/=. Kusema ukweli katika hili mama ameupiga mwingi sana!!
...Usipige TU Debe, Subiri Uzishike Kwanza!...
 
Kakupiga fix huyo. Hakuna kitu kama hicho. Nini kimemfanya hadi kuvushwa hivyo?
Hua inatokea ishawahi tokea kwa mwl Mmoja mtwara alitoka C mpk G enzi hizooo,yaani alikua anapewa mshahara mkubwa ,akaandika barua kwa Afisa utumishi haikufanyiwa kazi ,kuanzia 2009 mpk 2013 alikua anakula mshahara wa G tuu,mpk akaja afisa utumishi mpya alivyokua anapandishwa kutoka C kwenda D ndo wakakuta Hilo Kosa,uzuri alivyoitwa katika file lake wakakuta barua za kuomba arejeshwe cheo chake halisi Cha D ,Ila for 3yrs alikua anakula shushu tuu!ndo akashushwa from G to E Ila aliyumba mnoo!!maana miaka mi3 unakula salary kubwa afu unashuka Tena,Ila barua ndo zilimlinda.

Wale nao wanadamu hua wanakosea pia
 
Itamletea shida Sana ,la awe ameandika barua kurudisha cheo chake anachostahiki !
Afu halmashauri waee hawajafanyia kazi hapo haitasumbua Ila kama kakaa kimya atafurahia shoo mbona!atacheua Senti zote alizokula
Inategemea mkuu mi kuna mtu namjua amekula mshahara wa tgts g wakt alikuwa f2 kwa miaka tang 2016 had wamepandishwa mwaka jana ndo anaendelea nao bila shida
 
Back
Top Bottom