reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Itamletea shida Sana ,la awe ameandika barua kurudisha cheo chake anachostahiki !Kuna mwalimu mmoja kutoka katika halmashauri X, Yeye aliajiriwa mwaka 2017 akianza na TGTS C, Mwezi mei mwaka huu kapanda daraja kutoka C hadi G ...Asee kuna mijitu ina bahati ile mbaya saiv Basic inasoma 1.6M na vi senti huko....japo Sijajua kama inaweza kumletea shida hii.
Afu halmashauri waee hawajafanyia kazi hapo haitasumbua Ila kama kakaa kimya atafurahia shoo mbona!atacheua Senti zote alizokula