Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Jipya ni hamsinielfutuKuna jipya wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipya ni hamsinielfutuKuna jipya wadau
HaijaelewekaMzigo bado [emoji52]
Hongereni watumishi kwa ingezeko lililo nona50,000/= kwa E ndio nyongeza kwenye 'take home'.
50k itafanya nini mkuu na vitu vilivyo juu, yaani promo zote zile kumbe 50, ataoga matusi[emoji16][emoji16][emoji16]Hongereni watumishi kwa ingezeko lililo nona
Tambo zilianza na maneno ya jambo letu50k itafanya nini mkuu na vitu vilivyo juu, yaani promo zote zile kumbe 50, ataoga matusi[emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kuwatia moyo watumishi mkuuTambo zilianza na maneno ya jambo letu
tambo zikaendelea na waziri mkuu apokea report ya maswala ya nyongeza ya mishahara na kuiwasilisha kwa raisi
tambo zikaendelea kwa tangazo kutoka ikulu juu ya ingezeko la 23%
sasa leo tetesi ni ongezeko la 50, 000/
mkuu vuteni subra huwenda ni tetesi tu mzigo kamili unakuja
Hilo ndo ongezeko hakuna miujiza zaidi ya hiyoTambo zilianza na maneno ya jambo letu
tambo zikaendelea na waziri mkuu apokea report ya maswala ya nyongeza ya mishahara na kuiwasilisha kwa raisi
tambo zikaendelea kwa tangazo kutoka ikulu juu ya ingezeko la 23%
sasa leo tetesi ni ongezeko la 50, 000/
mkuu vuteni subra huwenda ni tetesi tu mzigo kamili unakuja
Kwani mzigo ushatoka?Mshahara upo kwa ajili ya kuwainua wale wa kima cha chini mkuu angalau nao wainuke,
TGTS G kuna mzee wangu alikuwa anapokea kitu kama M1 na laki 9 na 70 na point huko ila kachungulia anaikuta kama LAKI MOJA na point ndo nyongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barua ya ikulu ilisema 23.3% ni kwa wale wa kima Cha chini. Au kusoma hamjui?Oya 55K?
Yaani nyongeza ya 1.6 Trillion (2022/2023) Kwa ajili ya mishahara ya watumishi
Ndo iwe 55K? Kwa daraja D?
Basi kama ni ivo mtu WA daraja D hajaifikia hata 10% ya nyongeza ya mshahara wake
This is totally robbery.
Kuhusu kifo hakuna ambae alikua anajua Ila kwa kuwa hakuonekana hadharani ndio wakaanza kusema hivyo.Kipindi cha Rais Magufuli siri zilikuwa zinavuja sana haswa siri kutoka Ikulu, ilifika hatua hata hotuba ya Rais inajulikana kabla hajaenda kuhutubia. Mfano mwingine hata taarifa za kifo cha Rais Magufuli zilivuja kabla ya tarehe 17/03/ watu walijua kuwa hatunaye tena japo serikali ilijitahidi kuficha kwa kila namna....
Hakuwaonea ila watumishi wa umma waliwaonea wanchi kwa kutoa huduma mbovu" huwezi ukawaongea Mishahara wakati utendaji kazi haukidhi viwango.Rais Magufuli aliwaonea watumishi wa ummq.
Kwa wanaolipwa na Azina wao hawaja kuswa na kikokotoo?Usichokijua ni kuwa watumishi wengi tu wa umma waliokuwa mifuko ya PPF na NSSF kabla ya kuhamishiwa PSSSF walikuwa na kikokotoo cha asilimia 25 hadi hiyo june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo kipya cha asilimia 33 ni kicheko sana. Kilio ni kwa watumishi wa umma waliokuwa LAPF na PSPF kabla ya kuhamishiwa PSSSF, hawa walikuwa na kikokotoo cha asilimia 50 hadi june 2022. Kwa hiyo kwao kikokotoo cha asilimia 33 ni kilio na kusaga meno!!
Mbona maisha yao yanakuwa na misukosuko ya kiuchumi?Kuna mtu namfahamu mpaka anastaafu akiwa kama mwalimu wa kawaida alikuwa anapata mshahara wa zaidi ya milioni mbili na laki tano!! Lakini mitaani watu wanamwona kama ticha asiyekuwa na mshahara mzuri wakati wao hata milioni moja hawajafikia na wanakaribia kustaafu!!