Watumishi wa Umma, Mmeona Madhara ya kutotizimiza wajibu wenu eneo la kazi? Maumivu ni makubwa mno

That woman is a confused daughter of Jezebel stuffed with power mongering attitude while holding a brainless head. Nchi imeharibika sana i dont trusy women in leadership despite the fact that men are bunch of thieves but better the devil you know than an angel you dont know.
 
Huo ndio upumbavu wa kula kwa urefu wa kamba yako!
 
Rushwa inagharimu maisha ya Watanzania na mali zao.
 
Hamna kitu, na kuunda tume ni waste of Time

Majibu yapo wazi kuwa Watanzania wameua watanzania wenzie kwa tamaaa ya fedha huku mamlaka husika zikifanya makusudi

Dereva wa nchi ameshapoteana
 
Itafahamika tu mbona afsa ametuma utetezi mapema sana!
 
Kwenye geti la chuo kikuu cha Cape Town nchini Afrika kusini kuna maandishi yasemayo; "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" waonekane wamefaulu na wasonge mbele.

Matokeo yake yatajionesha baada ya muda, "mbumbumbu" hao wakishahitimu. Wagonjwa watafia mikononi mwa madaktari, majengo yataanguka mikononi mwa wahandisi, pesa zitapotelea mikononi mwa wachumi, utu utapotea mikononi mwa viongozi wa dini, na haki itapotelea mikononi mwa mahakimu. Kuchezea elimu ni kuangamiza taifa"
 
Ni kweli kabisa
 
Na bado jamii, ikiongozwa na Mpwayungu Village, inaendelea kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwakejeli Wataalamu wa Elimu (WALIMU). Mnayajua madhala yake?

Au kwavile hayaonekani kwa macho kama ghorofa lililoanguka, hivyo mnaona sawa wakidhalilishwa?
Mbona hili janga halina uhusiano na elimu.
Kwani hao wanaoboronga kazi na kusababisha maafa hawana elimu?
 
Na hicho ndicho walichofanya hapa nchiini

Ova
 
1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

KARIAKOO HAKUNA PAKING HAKUNA OPEN SPACE HATA MOJA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
 
Swali rahisi sana.
Mmiliki atakuwa ana kosa gani ikiwa atakuwa na vibali halali na kuwatumia waatalamu wa fani husika katika ujenzi wa jengo lake?
Tutaangalia watowaji wa hivyo vibali nao walifuata taratibu zote za utowaji wa hivyo vibali!? Yaani hapa lazima kuna watu watanaswa tu!!
 
Sio Watumishi wa Umma Bali Mkandarasi Huwa ana liability ya kuhakikisha ubora
 
Naambiwa lile eneo kwa sasa Linaharufu kali mno, wamezuia watu wasipite kabisa
Harufu eneo lile ni kali mno, that should tell you chini ya vifusi ni watu wengi wamelala chini

Kwa kweli Mungu awalinde , tunaserikali ya mchongo haijawqhi kutokea
Uokoaji kwa kutumia nyundo, sijawahi ona

Waliolala ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…