Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia
Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara wanaoilalamikia?
Watumishi wa umma Tanzania ni watu waliojawa na uelewa finyu na ubinafsi,
Idadi yao haifiki hata milioni moja ila wanataka mapato karibu yote ya kodi yatumike kuwalipa mishahara
Hivi sasa takribani nusu ya mapato yote yanayokusanywa na TRA trilioni 1.3 kwa mwezi, nusu yake inatumika kuwalipa mishahara, yaani bilioni 700
Kumetokea mfumuko wa bei dunia nzima, serikali inatakiwa kutoa ruzuku ili mafuta ambayo ni bidhaa muhimu ishuke bei kuzuia mfumuko zaidi, ila hawa watu hawaangalii hata hili wanataka waongezewe mishahara minono huku asilimia 99 ya watanzania ambao hawafanyi kazi sekta ya umma wakiteseka...
Wanadhani Serikali kazi yake ni kuwalipa tu mshahara wao...!