Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

Serikali haitaweza kuajiri watumishi wengine kama billl ya mshahara ni kubwa kutokana na mishahara mikubwa ya waliopo.
Yapaswa mishahara iwe ya kawaida ili kuweza kuajiri watumishi wengi zaidi
Wewe inayokutesa ni njaa (mayala). Shida yako mjazane serikalini hata kwa kulipwa vijisenti. Panua akili huenda walioajiriwa wameacha gaps sekta binafsi acha kugombania mali za urithi eti hata dirisha tuligawane pasu kwa pasu.
 
😂😂 Ona huyu, nimeandika hivyo ku represent mawazo ya vijana wengi mtaani ambao hawana kazi, not necessarily mimi
Nyie watu mna akili finyu sana hadi kuelewa andiko simple tu ni shida

By the way serikali inatakiwa kuajiri watumishi zaidi sababu walipo hawatoshi, ila haitaweza kama hawa wachache waliopo wata demand mishahara mikubwa
Mkishindwa kuishauri serikali kupanua wigo wa fursa hii ndo athari yake. Vijana wanakuwa na tamaa ya kuombeana mabaya tu, kwa hatua hii ni dhahili kuwa muajiriwa ni ngumu kutoboa kimaisha km anaona bora upate vichenji ili muwe wengi makazini.
 
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia

Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara wanaoilalamikia?

Watumishi wa umma Tanzania ni watu waliojawa na uelewa finyu na ubinafsi,

Idadi yao haifiki hata milioni moja ila wanataka mapato karibu yote ya kodi yatumike kuwalipa mishahara

Hivi sasa takribani nusu ya mapato yote yanayokusanywa na TRA trilioni 1.3 kwa mwezi, nusu yake inatumika kuwalipa mishahara, yaani bilioni 700

Kumetokea mfumuko wa bei dunia nzima, serikali inatakiwa kutoa ruzuku ili mafuta ambayo ni bidhaa muhimu ishuke bei kuzuia mfumuko zaidi, ila hawa watu hawaangalii hata hili wanataka waongezewe mishahara minono huku asilimia 99 ya watanzania ambao hawafanyi kazi sekta ya umma wakiteseka...

Wanadhani Serikali kazi yake ni kuwalipa tu mshahara wao...!
Rubbish.
Go back to day care
 
Hawawezi kuacha kazi hata wasipopandishiwa mishahara kwa miaka mitano, maana watumishi karibu wote wanategemea hiyo pesa ya mshahara, akiacha tu basi ameisha tayari , pia vile vile hata vijana ambao hawana kazi za serikalini wakipata nafasi nao baada ya muda mchache tu wataingia kwenye kundi hilohilo la walalamikaji ambapo baadaye tutaendelea na circle hiyo hiyo ya wanaolalamika waache kazi ili wengine wapate, Hali hiyo ya kutaka wengine waache wengine wapate itaendelea hadi dunia inafika mwisho tukiwa hatujafanya Chochote zaidi ya kulalamika...wafanyakazi wa nchi hii hakuna atakayethubutu kuacha kazi hata asiongezewe mshahara kwa miaka saba, nchi hii ni maskini wa kutupwaaaa huku serikali ikitumia mapesa mengi sana kwenye mambo yasiyo na tija...ulafi umejaa kwenye maofisi hakuna anayejali ilimradi mtu kashapata yy basi kila mmoja na familia yake...Cha msingi kilichoongezwa kimeongezwa basi watu wafanye kazi tu.
 
Wewe inayokutesa ni njaa (mayala). Shida yako mjazane serikalini hata kwa kulipwa vijisenti. Panua akili huenda walioajiriwa wameacha gaps sekta binafsi acha kugombania mali za urithi eti hata dirisha tuligawane pasu kwa pasu.
Hukuna nyongeza kama una akili sana acha kazi ukazitumie mtaani
 
Mkishindwa kuishauri serikali kupanua wigo wa fursa hii ndo athari yake. Vijana wanakuwa na tamaa ya kuombeana mabaya tu, kwa hatua hii ni dhahili kuwa muajiriwa ni ngumu kutoboa kimaisha km anaona bora upate vichenji ili muwe wengi makazini.
Watumishi ndio wanaombea mabaya wengine, hawataki kuchukua kidogo ili wengine wapate, wamejawa na ulafi uliopitiliza
 
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia

Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara wanaoilalamikia?

Watumishi wa umma Tanzania ni watu waliojawa na uelewa finyu na ubinafsi,

Idadi yao haifiki hata milioni moja ila wanataka mapato karibu yote ya kodi yatumike kuwalipa mishahara

Hivi sasa takribani nusu ya mapato yote yanayokusanywa na TRA trilioni 1.3 kwa mwezi, nusu yake inatumika kuwalipa mishahara, yaani bilioni 700

Kumetokea mfumuko wa bei dunia nzima, serikali inatakiwa kutoa ruzuku ili mafuta ambayo ni bidhaa muhimu ishuke bei kuzuia mfumuko zaidi, ila hawa watu hawaangalii hata hili wanataka waongezewe mishahara minono huku asilimia 99 ya watanzania ambao hawafanyi kazi sekta ya umma wakiteseka...

Wanadhani Serikali kazi yake ni kuwalipa tu mshahara wao...!
Nakuunga mkono na mguu, jumla wapo 530000. Ila wanataka kila kitu wapate wao. Kuna sehemu niliona walimu flani hivi wanasema eti na wao wangekuwa wanapewa V8
 
Hawawezi kuacha kazi hata wasipopandishiwa mishahara kwa miaka mitano, maana watumishi karibu wote wanategemea hiyo pesa ya mshahara, akiacha tu basi ameisha tayari , pia vile vile hata vijana ambao hawana kazi za serikalini wakipata nafasi nao baada ya muda mchache tu wataingia kwenye kundi hilohilo la walalamikaji ambapo baadaye tutaendelea na circle hiyo hiyo ya wanaolalamika waache kazi ili wengine wapate, Hali hiyo ya kutaka wengine waache wengine wapate itaendelea hadi dunia inafika mwisho tukiwa hatujafanya Chochote zaidi ya kulalamika...wafanyakazi wa nchi hii hakuna atakayethubutu kuacha kazi hata asiongezewe mshahara kwa miaka saba, nchi hii ni maskini wa kutupwaaaa huku serikali ikitumia mapesa mengi sana kwenye mambo yasiyo na tija...ulafi umejaa kwenye maofisi hakuna anayejali ilimradi mtu kashapata yy basi kila mmoja na familia yake...Cha msingi kilichoongezwa kimeongezwa basi watu wafanye kazi tu.
Hamna, wengine watakaowafuata watajifunza, tayari watakua wanajua mtaani kukoje, so hii kudeka deka hawatakuwa nayo sana
 
👇😁😁😁
072638.jpg
 
Acha hasira kwa ufinyu wako wa fikra. Kama ambavyo we hutak kuajiriwa serikalin acha waliomo ndo waongee yanayowahusu we si msemaji wa wasiokuwa na ajira. Ndo nyie mnaowaza flani afe ili mchukue nafasi yake huko makazini.
kama sijaajiriwa serikali ndio nisizngumze kuhusu maslahi mapana ya wananchi walio wengi kisa mimi hainihusu?
Ubinafsi wa kiwango gani huu? Mmejawa na ubinafsi sana hata kauli hii ndio inazidi kuthibitisha.

Tanzania sio ya watumishi wa umma tu, hamfiki hata laki sita
 
Mkishindwa kuishauri serikali kupanua wigo wa fursa hii ndo athari yake. Vijana wanakuwa na tamaa ya kuombeana mabaya tu, kwa hatua hii ni dhahili kuwa muajiriwa ni ngumu kutoboa kimaisha km anaona bora upate vichenji ili muwe wengi makazini.
Wewe Mwalimu huna tija yoyote huko. Watoto wetu siku hizi tunawapeleka english medium(private)
 
Hamna, wengine watakaowafuata watajifunza, tayari watakua wanajua mtaani kukoje, so hii kudeka deka hawatakuwa nayo sana
Hata watumishi nao walikuwa mtaani kabla hawajapata kazi so wanajua tabu zake ila si unaona wanavyolialia kuhusu mshahara...kwahiyo bado tu watu wakipata kazi nchii hii wanajisahau hawafahamu walipotoka Wala wanakokwenda.
 
wengi walioajiriwa sasa hivi hawakusota sana mtaani, tatizo la ajira limeanza kujitokeza miaka hii ya 2010s, hawajui lolote kuhusu watu wengine
 
Pole kijana Kwa kuwa jobless siku Moja Mungu atakukumbuka na utakuja kuungana na hao watumishi kudai ongezeko la mshahara.
Lakini nakushauri Toka hapo Kwa shemeji Yako kugombania remote na msosi wa Bure na watoto wa shemeji Yako.

Kama watumishi wataongezewa kipato, fedha hiyo wanaipeleka Kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa kupitia manunuzi na hivyo kuongeza mzunguko wa fedha kitaa.

Mtumishi kuto ongezewa mshahara hukukufanyi wewe upate ajira, sana kunapelekea kukosa mapato Kwa huyo shemeji Yako kama ni mfanyakazi au kama ni mfanya biashara basi mauzo yake hayaongezeki.

Nakusalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Kwani njia ya kuongeza hela kwenye mzunguko ni kupitia mishahara tu.

Alafu naona unathibitisha kuwa watumishi wengi wa umma wana akili finyu kwa sababu badala ya wewe kujibu hoja wewe unamshambulia mtoa hoja
 
KUNA BIFU KALI SANA KATI YA VIJANA WASIO NA AJIRA NA WATUMISHI (HASA WALIMU) IPO SIKU KITANUKA NA SABABU KUU NI TAMAA YA WALIMU KUPENDA WAPEWE KILA UJIRA WA MUDA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]pesa imekuwa ngumu mpaka tunafikia huko [emoji119][emoji119]
 
Tatizo sio kuacha Kazi shida ni kuyapata mafao
 
wengi walioajiriwa sasa hivi hawakusota sana mtaani, tatizo la ajira limeanza kujitokeza miaka hii ya 2010s, hawajui lolote kuhusu watu wengine
Watumishi wa umma wengi walitoka familia maskini, maisha ya umaskini yanajulikana kuanzia unazaliwa hadi unasoma umekumbana na ugumu mwingi sana wa kimaisha...watumishi wengi ni kutoka familia za chini hivyo nasisitiza kuwa Hawa wanajua adha ya umaskini ukoje ikiwa huna kazi ya kueleweka ila angalia sasa ndo hao hao wanaolalamika sasa hivi,utafikiri hawajui hustle za umaskini zikoje, hili linaleta picha kuwa litakuwa ni Jambo la kujirudia tu.
 
Back
Top Bottom