Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu.
Aiseee hatari.

Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa

Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe"

Ukiwapigania Watanzania utasumbuka sana, wengi hawajielewi na hawana shukrani.

Lissu ukitoka waachie Tanganyika yao wapewe sahani ya ubwabwa wasahau shida zao.
 
Sasa hv ukimtia mimba mkeo, sifa ni kwa mama 🔥
 
Back
Top Bottom