Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake.
Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka tena ni mamilioni ya mzigo, leo mmemsikia aliyekua spika wa Bunge Job Ndugai alivyowafanya mazuri wabunge yani Bunge limevunjwa leo na mafao yanatoka leo leo.