Katika dictatorship regime kila kitu kinasimama! Hata hiv vyama vya siasa kama siyo kuogopa international community, angelivifuta kama alivyofanya Idd Amin!Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake.
Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka tena ni mamilioni ya mzigo, leo mmemsikia aliyekua spika wa Bunge Job Ndugai alivyowafanya mazuri wabunge yani Bunge limevunjwa leo na mafao yanatoka leo leo.
Katika dictatorship regime kila kitu kinasimama! Hata hiv vyama vya siasa kama siyo kuogopa international community, angelivifuta kama alivyofanya Idd Amin!
No kusisitiza hilo mh rais kawambia waving kwa lugha ya picha kuwa Tsheti zenu zimeanza ingia tangu jana saa nane akimanisha mafao yao tayali yameiva
alafu Kama PAYE imepungua ina maana BASIC itaongezeka na ikiongezeka basic ina maana asilimia za makato mengine zinaongezeka kwaiyo mwisho wa siku ni uhuni tu umefanyika hapo wamechota uku wameweka uku
Basic salary inaongezeka vipi wakati hajaongeza rate za mishahara?,alafu Kama PAYE imepungua ina maana BASIC itaongezeka na ikiongezeka basic ina maana asilimia za makato mengine zinaongezeka kwaiyo mwisho wa siku ni uhuni tu umefanyika hapo wamechota uku wameweka uku
Basic salary inaongezeka vipi wakati hajaongeza rate za mishahara?,
ππ,alafu ameandika kwa kujiamini kabisaHao ndio wanaojifanya wanajuwa mambo brother.
ππ,alafu ameandika kwa kujiamini kabisa
Hiyo chimpumuπ€£π€£πππ balimi zikikolea tunakuwa chizi take home tumeita basic ngoja take home ingozeke moja ya tatu ikawe sawa wife akakope tununue dell za barafu