Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
- #41
Duh KAZI IPO.Watumishi hawana madhara kwenye kura.Wasubirie tu ajae labda atawaongeza.
Waendelee tu kuomba wasianze kukopwa hata salary.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh KAZI IPO.Watumishi hawana madhara kwenye kura.Wasubirie tu ajae labda atawaongeza.
Waendelee tu kuomba wasianze kukopwa hata salary.
Tena hasaa...accha ayatandike maana na yenyewe hayajielewi katu! kuna magroup ya wafanyakazi ya whatsapp ni kinyaa
Hili jambo halihitaji akili kubwaa kulielewa.
Bro Annual increment IPO kisheria na ilipitishwa na Bunge.
Mbona ye halipi.
1. Yupo juu ya bunge?
2. Ana mamlaka gani ya kuingilia maamuzi ya bunge?
#YNWA
Tatizo hao hao watumishi wa umma ndio makada.Baada ya annual increament kusitishwa mmeacha kutukana Serikal na kutishia migomo, baada ya kuzuiwa nyongeza mmeacha tabia yenu ya kususa kumualika Rais kwenye Mei mosi…'
Sasa hivi hata Risala zenu za May Mosi zinaandaliwa na anaekuja kusomewa Uwamjani.
Atake asitake tutamuongezea Muda ~Spika wa Bunge
Mkumbushe ahadi ni deni...Mishahara aongezewe hela atatoa wapi?Juzi mabeberu wamempa za Corona dola 14 million kashukuru amekoma na kuwaita mabeberu.
Magu hahitaji kura zozote. Anazo kura zake mwenyewe. Magufuli atapiga kura, atahesabu kura, na atatangaza mshindi. Kama huamini, angalia uchaguzi wa serikali za mitaa.Watumishi ni Laki 5 kwa ujumla...jumla ya wapiga kura ni zaidi ya million 20 nahc anaona hata msipompa kura zenu wakulima na wengine waliobak watampa[emoji848]
Duh kila mwaka inatafutwa SABABU?Kwa mwaka huu hali ya kiuchumi in ngumu sana kutokana na COVID-19. Sisi wafanyakazi kuongezewa mishara kutafanya watu wengine waumie maradufu eg wawekezaji na wafanyabiashara ... Huu mwaka wakuhakikisha uchumi unasimama na hauanguki badala ya kupanda kama matarajio
Tanzania yangu..Magu hahitaji kura zozote. Anazo kura zake mwenyewe. Magufuli atapiga kura, atahesabu kura, na atatangaza mshindi. Kama huamini, angalia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mkuu Mimi nafirikiri kupunguzwa kwa Kodi ya mishahara kwa watumishi inaweza kusaidia hata mishahara isipoongezwa au uelewa wangu ni Mdogo hapo.
Mfano
Mshahara wa million 1 makato kutoka 30% mpaka 20%
Mshahara wa laki 9 mpaka laki 6.5
Makato kutoka 15% mpaka 5%
Mshahara wa laki 6 mpaka Tsh. 50000 makato kutoka 10% mpaka 0%.
Kama nimeelewa vibaya naweza kueleweshwa vizuri.