Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #121
Kama kashindwa kuwajali miaka mi5 iliyopita atawajili lini?Un
Suala sio lini kapandisha mishahara?
Suala ni kuwadanganya watu kwamba wajiandae kuumia tena, huo ni uongo na uzandiki.
Alisema haongezi kwasababu anajenga miradi.
Kwani miradi imeisha?
#YNWA