Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Mbn lawama ni kwa Magu?

Kuna wizara inayohusika na Maswala ya kazi.. kwanin hamuwapi. lawama?!

Human Resources ni Muhim ktk Hili Taifa.. na ndio Msingi mkuu wa Ustawi wa Jamii. Cha Kufanya ni Kushinikiza kuanzia chini (Hr) kwa kutumia Workers representative authority (Vyama vya Wafanyakazi) vya Taasisi na kwa Ujumla.. after kuwashinikiza hao watu.. ikishindikana kuna Process za kufata kufanya MAANDAMANO na Migomo ikumbukwe kuna Baadhi ya KADA hazitakiwi kufanya MGOMO otherwise watakuw against the Rules and Regulations..

Few of you ndio muwe Scape goat
Awamu hii wa kulaumiwa Ni Magu Wala usisingizie wizara.Lawama zote zifike kwake.Hizo wizara zipo tu pale lkn Kila kitu Magu ndio source
 
Mimi naomba Magufuli awamu hii apunguze hadi mishahara ya watumishi wa umma!

Inaonekana ni mikubwa sana, ndio maana wanamuunga mkono na wamemsaidia kupora kura!

Apunguze hata kwa nusu akajengee uwanja wa mpira Chato.

Nina uhakika bado watumishi umma wataendelea kumwona mungu
hahahahaha kabisa wazo zuri sana, yani mimi huwa nashangaa sana wenye maisha duni ndio haohao wapiga makofi
 
Aliyeshinda uchaguzi ni

1. Ni yuleyule raisi aliyesema hana mpango wowote na Human resource encourange (Hawezi kuongeza mshahara)

2. Ni yule yule Raisi aliyeamua kugoma kupandisha maadaraja watumishi wotee walioajiriwa kuanzia 2014

3. Ni yuleyule raisi aliamua kuvunja Sheria ya "Annual Increment". Na hakuongeza chochote kama Sheria ilivyomtaka.

4. Ni yuleyule raisi aliyewafukuza watumishi wa mahakama walioajiriwa 2016 kisa waliajiriwa kipindi cha uhakiki.

5. Ni yuleyule ambae alikuta baadhi ya sekta katika utumishi wa umma zinasomesha watumishi wake Eg. Mahakama.
Ila alipoingia yeye kwenye Law day alitoa tamko, mahakama iache kusomesha watumishi wake.

Mtu aliyekuwa chuoni akijua analipiwa ada ilimbidi aache kwanza chuo akajipange ili kurudi tena. Maana ufadhili ulikatwa katikati ya masomo.

6. Ni yule yule ambae amevifanya vyama vya wafanyakazi visiwe na sauti.

7. Ni mengi aisee nikiandika yotee siwezi maliza.

KIFUPI KWA MIAKA HII 5 KADHULUMU SANAA WATUMISHI WA UMMA.

Eti ameshinda tenaa..

Yaani miaka mengine mitano ya kuvunja Sheria za utumishi na kutowajali watumishi.

TUENDELEE KUVUMILIA ila usisahau in every action there is an equal and opposite reaction.

Wameamua kutudhulumu pesa as our resource.
Sasa ni wakati wa kudhulumu muda.

Take their time to do your things on your favour as they have take your money for their favour.
YOU HAVE MOUTH TO FEED.

#YNWA
Tufanye kazi acha blaablaa
 
Rais Wetu Yule Pale
Kiongozi wetu Yule Pale

Ikulu Hiyo Ikulu Hiyoooo
Wengine Wanatetemeka
Sababu Ya Ikulu Hiyooo

Magu Piga Kazi
Hapa Kazi Tuuuu.
Mwambie basi aheshimu Sheria za umma.
Hakuna aliye juu ya Sheria.

#YNWA
 
Hujasema kama:

1. yule yule aliyekomesha Rushwa ns Ucheleweshaji wa kesi Mahakamani.
2. Ni yule yule anayesomesha bure watanzania kutoka darasa LA kwanza hadi kidato cha NNE
3. Ni yule yule aliyekarabati shule Kongwe ambazo ukifika utadhania ni vyuo vikuu
4. Ni yule yule aliyekomesha mgao wa umeme
5. Ni yule yule aliyeboresha sekta ya afya kwa kujenga Hospitali, zahanati mpya na kuongeza vifaa
6. Ni yule yule anayejenga SGR na Stiglers Gorge
7. Ni yule yule aliyepitia mikataba ya madini na sasa nchi inanufaika na madini yetu
8. Ni yule yule aliyedhibiti biashara haramu za pembe za ndovu na dawa za kulevya
9. Ni yule yule jembe LA afrika ambaye Mabeberu wasikiapo jina lake wsnatetemeka

Acha ubinafsi, Watumishi wa umma ni laki tano tu kati ya watanzania mil 50, Wapo wakulima, wafugaji, wafanyaboashara, wavuvi n.k, wote wanamwangalia Mheshimiwa Rais.
Tatizo lenu vichwa maji..wenye njaa vichwani..mnaamini hizo ni kama fadhila au upendeleo yan kama hamkusitahili..kimsingi ndio wajibu wa serikali..hata chaumma wangefanya hivyo..mana hakuna raisi anayetoa hela mfukoni mwake..hizo kodi ndio zinafanya hayo yote...

Kua mboga mboga ni umbumbumbu wa kiwango cha juu...kmmk

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wotee hao ni makada wa CCM.

#YNWA
Mkifanikiwa kupindua Uongozi wa Umoja wa Wafanyakazi / Vyama vya Wafanyakazi bas.. at least mtawez kujaribu kupindua Serikal iliyopo ktk mamlaka..

Kama hawa viongoz hamuwawez bas.. hata wale wa Serikali kuu hamtawaweza..

Jipangen
 
Aliyeshinda uchaguzi ni

1. Ni yuleyule raisi aliyesema hana mpango wowote na Human resource encourange (Hawezi kuongeza mshahara)

2. Ni yule yule Raisi aliyeamua kugoma kupandisha maadaraja watumishi wotee walioajiriwa kuanzia 2014

3. Ni yuleyule raisi aliamua kuvunja Sheria ya "Annual Increment". Na hakuongeza chochote kama Sheria ilivyomtaka.

4. Ni yuleyule raisi aliyewafukuza watumishi wa mahakama walioajiriwa 2016 kisa waliajiriwa kipindi cha uhakiki.

5. Ni yuleyule ambae alikuta baadhi ya sekta katika utumishi wa umma zinasomesha watumishi wake Eg. Mahakama.
Ila alipoingia yeye kwenye Law day alitoa tamko, mahakama iache kusomesha watumishi wake.

Mtu aliyekuwa chuoni akijua analipiwa ada ilimbidi aache kwanza chuo akajipange ili kurudi tena. Maana ufadhili ulikatwa katikati ya masomo.

6. Ni yule yule ambae amevifanya vyama vya wafanyakazi visiwe na sauti.

7. Ni mengi aisee nikiandika yotee siwezi maliza.

KIFUPI KWA MIAKA HII 5 KADHULUMU SANAA WATUMISHI WA UMMA.

Eti ameshinda tenaa..

Yaani miaka mengine mitano ya kuvunja Sheria za utumishi na kutowajali watumishi.

TUENDELEE KUVUMILIA ila usisahau in every action there is an equal and opposite reaction.

Wameamua kutudhulumu pesa as our resource.
Sasa ni wakati wa kudhulumu muda.

Take their time to do your things on your favour as they have take your money for their favour.
YOU HAVE MOUTH TO FEED.

#YNWA
Yaani mkuu mimi niliishiwa nguvu kwa jinsi nisivyompenda huyu jamaa kwasababu ya madhulumu yake,lkn yeye ni binadamu kwa hiyo leo yupo lkn kesho hayupo
 
Back
Top Bottom