Hujasema kama:
1. yule yule aliyekomesha Rushwa ns Ucheleweshaji wa kesi Mahakamani.
2. Ni yule yule anayesomesha bure watanzania kutoka darasa LA kwanza hadi kidato cha NNE
3. Ni yule yule aliyekarabati shule Kongwe ambazo ukifika utadhania ni vyuo vikuu
4. Ni yule yule aliyekomesha mgao wa umeme
5. Ni yule yule aliyeboresha sekta ya afya kwa kujenga Hospitali, zahanati mpya na kuongeza vifaa
6. Ni yule yule anayejenga SGR na Stiglers Gorge
7. Ni yule yule aliyepitia mikataba ya madini na sasa nchi inanufaika na madini yetu
8. Ni yule yule aliyedhibiti biashara haramu za pembe za ndovu na dawa za kulevya
9. Ni yule yule jembe LA afrika ambaye Mabeberu wasikiapo jina lake wsnatetemeka
Acha ubinafsi, Watumishi wa umma ni laki tano tu kati ya watanzania mil 50, Wapo wakulima, wafugaji, wafanyaboashara, wavuvi n.k, wote wanamwangalia Mheshimiwa Rais.