Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Rais Wetu Yule Pale
Kiongozi wetu Yule Pale

Ikulu Hiyo Ikulu Hiyoooo
Wengine Wanatetemeka
Sababu Ya Ikulu Hiyooo

Magu Piga Kazi
Hapa Kazi Tuuuu.
Mwambie atekeleze Sheria za utumishi wa umma.
Alipe pesa za watu.
Apandishe madaraja.

#YNWA
 
Baada ya Magufuli kulawiti uchaguzi sasa ataanza kulawiti wananchi na kwenye hili hatatenganisha kati ya MATAGA na chadema,wote watakuwa kwenye kapu moja.Stay tuned,the worst is yet to come!
CCM wanadhani wanayopigania akina Mbowe ni kwa faida yao wao.

#YNWA
 
Nan akupende wakat ww mwenyew hujipendi?

Relax. Fata taratibu pale unapoona Haki zako hazifatwi ndio maana Kuna Labor Law na Ile ya Code of G Conduct na zingine nyingi, umejaribu kuzisoma?

Umechukua hatua Gani?

Pili, mkuu kasema ataongeza Mishahara, tulia
Uchaguzi wa mwaka 2015 pia alisema.
Ila kilichofokea ni HEWA.

Jiwe hana mpango na human resource.

#YNWA
 
Hakuna jipya chini ya jua. Rushwa iko pale pale. Upigaji uko pale pale, utamulikwa ikiwa yeye hajahusishwa. Mashuleni watu wanalipa kama kawaida, kwani elimu bora ina gharama zake. Ujenzi mkubwa kwa sasa unawanyonya wananchi, wanaolipa kodi kila uchwao na wasiopewa haki ya kuchagua wamtakaye, kupata habari na kutoa maoni yao katika nchi huru ya Tz., ukizingatia teknolojia inaruhusu.
Amen.

#YNWA
 
Nyie muendelee kuumia tu, wala sioni haja ya kututangazia hapa.
Maumivu ya watumishi yanaathiri mpaka mwananchi wa kawaida..
Hatotoa huduma inayotakiwa maana morali imeshuka.

#YNWA
 
Bro hawa wamekua WANAFIKI BALAA.

#YNWA
Ngj nikuambie kitu kizuri.. hata mapinduzi mengi nchi Ulaya yalifanywa na Vyama vya Wafanyakazi hata hapa Tanganyika.. vyama vya Wafanyakazi ndio vilibadirika na kuwa vyama vya Siasa..

Nashindwa kuelewa... Mnakwama wapi Wafanyakazi wenye Discontent ukizingatia ktk hivyo vyama.. kuna uchaguz huwa unafanyika..
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 pia alisema.
Ila kilichofokea ni HEWA.

Jiwe hana mpango na human resource.

#YNWA
Mbn lawama ni kwa Magu?

Kuna wizara inayohusika na Maswala ya kazi.. kwanin hamuwapi. lawama?!

Human Resources ni Muhim ktk Hili Taifa.. na ndio Msingi mkuu wa Ustawi wa Jamii. Cha Kufanya ni Kushinikiza kuanzia chini (Hr) kwa kutumia Workers representative authority (Vyama vya Wafanyakazi) vya Taasisi na kwa Ujumla.. after kuwashinikiza hao watu.. ikishindikana kuna Process za kufata kufanya MAANDAMANO na Migomo ikumbukwe kuna Baadhi ya KADA hazitakiwi kufanya MGOMO otherwise watakuw against the Rules and Regulations..

Few of you ndio muwe Scape goat
 
Maumivu ya watumishi yanaathiri mpaka mwananchi wa kawaida..
Hatotoa huduma inayotakiwa maana morali imeshuka.

#YNWA
Ukiachilia kutoa huduma pia uwezo wa kununua mahitaji utapungua hivyo wajasiriamali ambao wateja wao wakubwa Ni watumishi wataathirika
 
Back
Top Bottom