Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Un

Suala sio lini kapandisha mishahara?
Suala ni kuwadanganya watu kwamba wajiandae kuumia tena, huo ni uongo na uzandiki.
Kama kashindwa kuwajali miaka mi5 iliyopita atawajili lini?

Alisema haongezi kwasababu anajenga miradi.

Kwani miradi imeisha?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…