Unaijuwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977?Kuna tangazo linazunguka juu ya kutolipwa mishahara kwa wafanyakazi wa umma ambao walichukua fomu za kuomba kupata ridhaa kutokak chama cha mapinduzi ili wapeperushe bendera ya kuwania nafasi za ubunge.
Binafsi naunga mkono katazo la kutolipwa mshahara wa mwezi huu wa julai, ila kwa mtazamo wangu hawa wangefukuzwa na kufutwa kabisa katika utumishi wa umma...
Kwani si ndio sheria inavyotaka au ni tamko tu? Nadhani ni sheria, sina uhakika lakini ninachokumbuka sheria iko wazi na waraka wa kukumbusha ulitolewa. Makonda mwezi huu hana mshaharaZipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
HahahahahhaahhUnaijuwa katiba ya Tanzania ya mwaka 1977?
Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Nisaidie mbinu watakayoitumia kuwapata hao watumishi bila kuwaoneaWakatwe tuu mishahara.. Unaacha wanafunzi darasani unaenda mitaani huko kusaka kura halafu unataka mshahara. Kwa kazi gani??
Waliomba ruhusa pia majina yao yapoSina shaka na huo waraka au hiyo Sheria ya uchaguzi.
Hoja yangu ni: WATATUMIA MBINU GANI KUJUWA HUYU ALICHUKUA FOMU, AKAJAZA NA AKARUDISHA?
Ni hilo tu
Balaa sio dogo... lakini hili jambo ni kweli. Mara ya kwanza nilijua ni mshahara tu wa July, lakini habari za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai, WAMEFUKUZWA kabisa na barua walizopewa ni za kuwaondoa kwenye payroll.Duhh... Mbona noma sasa hii Mkuu.
Nafikiri hao ni watakao fuzu kura za maoni..Balaa sio dogo... lakini hili jambo ni kweli. Mara ya kwanza nilijua ni mshahara tu wa July, lakini habari za uhakika kutoka kwenye chanzo changu zinadai, WAMEFUKUZWA kabisa na barua walizopewa ni za kuwaondoa kwenye payroll.
Sijui kuhusu utaratibu gani utatumika ku-justify lakini ndio hivyo tena.
Waliomba ruhusa pia majina yao yapo
Mbona hata wakija JF wataona hata waliopata kura 0 (sifuri). Aidha makatibu wamikoa wa CCM wataonesha hata kura za watianiaSina shaka na huo waraka au hiyo Sheria ya uchaguzi.
Hoja yangu ni: WATATUMIA MBINU GANI KUJUWA HUYU ALICHUKUA FOMU, AKAJAZA NA AKARUDISHA?
Ni hilo tu
Asante mama, humu watu wa kulaumu kila jambo hadi wanakataa kuwa huwa hawaendi chooWaraka Namba 1 wa Utumishi wa Umma wa 2015 unamtaka mtumishi kabla hajaenda kugombea cheo cha kisiasa aombe (na apewe) likizo ya bila malipo. Kipindi hicho chote hatalipwa mshahara! Akipitishwa na kamati kuu/NEC anakoma utumishi wa umma.
Watu tumesaini na kula hivi viapo halafu sasa tunajifanya kusahau
Hayo majina watayapata wapi? Kuna wale ambao hawakuomba ruhusa hayo majina watayapataje?Waliomba ruhusa pia majina yao yapo