Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Vijana kibao hawana ajira nyie mnaajira na bado mnatamaa.sasa ngoja yawakute
 
Vijana kibao hawana ajira nyie mnaajira na bado mnatamaa.sasa ngoja yawakute
 
Kuacha kazi ni so personal kaka! Wewe unaweza kushaurika kweli kuacha kazi na hivyo ulivyoshiba na likitambi lako hilo!
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mbona unanishambulia
 
Wafanyakazi acheni tamaa, nyie ndo mukiwa kazini hamfanyi majukumu yenu vizuri mnawaza vyama vyenu na siasa Hadi mnakuwa na conflicts of interests ni Bora mukatwe tu maana sikuhizi kila mtu anawaza siasa tu
 
hizo ni tamaa zao jamaa mtu una kitu chako hautosheki bado unataka na kingine, tena walitakiwa wangepisha kabisa hizo ofisi ilitakiwa wakute watu wengine wamekaa humo tayari. inachekesha sana watu wengine mlivyo na mawazo mgando au na wewe mi mmoja wao. ndo ukome.
 
Walitudumbua sana, shenzi kabisa, acha wakatwe ndio vizuri. Walikua wanaendekeza siasa sana na kujifanya usalama wa Taifa. Pumbavu
 
Wafanyakazi acheni tamaa, nyie ndo mukiwa kazini hamfanyi majukumu yenu vizuri mnawaza vyama vyenu na siasa Hadi mnakuwa na conflicts of interests ni Bora mukatwe tu maana sikuhizi kila mtu anawaza siasa tu
Safi sana l wish isiwe fake news walizoea kuishi kwa mazoea hawa watu thanks JPM
 
Sasa mwezi wa saba wote hamjafanya kazi yoyote zaidi ya kupiga sarakasi za uteuzi.Mnataka mshahara wa nini?
 
Sasa mwezi wa saba wote hamjafanya kazi yoyote zaidi ya kupiga sarakasi za uteuzi.Mnataka mshahara wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…