Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Vijana kibao hawana ajira nyie mnaajira na bado mnatamaa.sasa ngoja yawakute
 
Vijana kibao hawana ajira nyie mnaajira na bado mnatamaa.sasa ngoja yawakute
 
Wafanyakazi acheni tamaa, nyie ndo mukiwa kazini hamfanyi majukumu yenu vizuri mnawaza vyama vyenu na siasa Hadi mnakuwa na conflicts of interests ni Bora mukatwe tu maana sikuhizi kila mtu anawaza siasa tu
 
Waajiri wengi wamezingatia maelekezo ya kuwasimamishia wafanyakazi wao mishahara Mwezi Julai kwa sababu eti wametia nia na kuchukua fomu za kugombea uongozi. Hili jambo linafanyika vibaya sana na kukomoana. Kuna mtu anaenda kazini na anafanya kazi zake kama kawaida na anachukua ruhusa ya majuma mawili au moja anaenda anachukua fomu anaijaza anairudisha anashiriki mchakato anajiona amepata kura moja au sifuri anarudi kazi kwake faster anaendelea na kazi, eti leo unamkata mshahara wote wa Julai!? Hizi hii ni akili au utopolo au matope? Serikali acheni hizo bhana!

Kwa nini nchi hii mnanyanyasa sana wafanyakazi wa umma? Hivi wamekosea nini? Pyuu!
hizo ni tamaa zao jamaa mtu una kitu chako hautosheki bado unataka na kingine, tena walitakiwa wangepisha kabisa hizo ofisi ilitakiwa wakute watu wengine wamekaa humo tayari. inachekesha sana watu wengine mlivyo na mawazo mgando au na wewe mi mmoja wao. ndo ukome.
 
Walitudumbua sana, shenzi kabisa, acha wakatwe ndio vizuri. Walikua wanaendekeza siasa sana na kujifanya usalama wa Taifa. Pumbavu
 
Wafanyakazi acheni tamaa, nyie ndo mukiwa kazini hamfanyi majukumu yenu vizuri mnawaza vyama vyenu na siasa Hadi mnakuwa na conflicts of interests ni Bora mukatwe tu maana sikuhizi kila mtu anawaza siasa tu
Safi sana l wish isiwe fake news walizoea kuishi kwa mazoea hawa watu thanks JPM
 
Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.

Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka bila kusubiri hizo ruhusa na wengine wametumia likizo zao. Kila mmoja kivyake. Kuna waajiri ambao pia wameanza kuwaita watia nia ambao wanaona hawakuomba ruhusa na kuwalazimisha kuandika barua za kujieleza. Watumishi wa umma wananyanyasika sana katika utawala huu!

View attachment 1514600
View attachment 1514601
 
Sasa mwezi wa saba wote hamjafanya kazi yoyote zaidi ya kupiga sarakasi za uteuzi.Mnataka mshahara wa nini?
 
Sasa mwezi wa saba wote hamjafanya kazi yoyote zaidi ya kupiga sarakasi za uteuzi.Mnataka mshahara wa nini?
 
Back
Top Bottom