Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini na wao usiwashauri wachukue uamuzi ulioufanya weweNimeandika tu kuwasemea mkuu. Mimi nilishaacha siku nyingi kutokana na manyanyaso!
Hawajawahi kujitambuaNyie wafanyakazi si mna Chama chenu.. kwa nini msiitishe mgomo nchi nzima kupinga hizo mnaziita dhuluma.
Kuacha kazi ni so personal kaka! Wewe unaweza kushaurika kweli kuacha kazi?Sasa kwa nini na wao usiwashauri wachukue uamuzi ulioufanya wewe
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mbona unanishambuliaKuacha kazi ni so personal kaka! Wewe unaweza kushaurika kweli kuacha kazi na hivyo ulivyoshiba na likitambi lako hilo!
Pole basi ngoja ni-edit hapo juu![emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mbona unanishambulia
Dadeeeki Wabunge wa CCM hamna kitu pale, kila nikikumbuka sheria ya madini waliyoipitisha faster na haikufanya kazi huwa naishia kucheka tuHizi ndio sheria zinazotungwa na wabunge wa CCM!!
hizo ni tamaa zao jamaa mtu una kitu chako hautosheki bado unataka na kingine, tena walitakiwa wangepisha kabisa hizo ofisi ilitakiwa wakute watu wengine wamekaa humo tayari. inachekesha sana watu wengine mlivyo na mawazo mgando au na wewe mi mmoja wao. ndo ukome.Waajiri wengi wamezingatia maelekezo ya kuwasimamishia wafanyakazi wao mishahara Mwezi Julai kwa sababu eti wametia nia na kuchukua fomu za kugombea uongozi. Hili jambo linafanyika vibaya sana na kukomoana. Kuna mtu anaenda kazini na anafanya kazi zake kama kawaida na anachukua ruhusa ya majuma mawili au moja anaenda anachukua fomu anaijaza anairudisha anashiriki mchakato anajiona amepata kura moja au sifuri anarudi kazi kwake faster anaendelea na kazi, eti leo unamkata mshahara wote wa Julai!? Hizi hii ni akili au utopolo au matope? Serikali acheni hizo bhana!
Kwa nini nchi hii mnanyanyasa sana wafanyakazi wa umma? Hivi wamekosea nini? Pyuu!
Walitudumbua sana, shenzi kabisa, acha wakatwe ndio vizuri. Walikua wanaendekeza siasa sana na kujifanya usalama wa Taifa. Pumbavuhizo ni tamaa zao jamaa mtu una kitu chako hautosheki bado unataka na kingine, tena walitakiwa wangepisha kabisa hizo ofisi ilitakiwa wakute watu wengine wamekaa humo tayari. inachekesha sana watu wengine mlivyo na mawazo mgando au na wewe mi mmoja wao. ndo ukome.
Safi sana l wish isiwe fake news walizoea kuishi kwa mazoea hawa watu thanks JPMWafanyakazi acheni tamaa, nyie ndo mukiwa kazini hamfanyi majukumu yenu vizuri mnawaza vyama vyenu na siasa Hadi mnakuwa na conflicts of interests ni Bora mukatwe tu maana sikuhizi kila mtu anawaza siasa tu
Kila mfanyakazi anawaza siasa huko kazini Yani tabu tupuSafi sana l wish isiwe fake news walizoea kuishi kwa mazoea hawa watu thanks JPM
Ni changamoto sanaKila mfanyakazi anawaza siasa huko kazini Yani tabu tupu
Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.
Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka bila kusubiri hizo ruhusa na wengine wametumia likizo zao. Kila mmoja kivyake. Kuna waajiri ambao pia wameanza kuwaita watia nia ambao wanaona hawakuomba ruhusa na kuwalazimisha kuandika barua za kujieleza. Watumishi wa umma wananyanyasika sana katika utawala huu!
View attachment 1514600
View attachment 1514601
Mzee kafanya watu waone maisha ni siasa tu na Watanzania jinsi tuna PhD za unafiki sikuhizi kila raia ni ccm, na atasifia hata vitu vya uongo.Ni changamoto sana