Yaani hata mshahara utoke tarehe 55, suluba za jiwe sitakaa nizikumbuke hata siku moja ndani ya awamu ya huyu mama. Amani iliyopo tu kwa sasa ni chanzo tosha cha furaha.
Lakini hata kwa jiwe mara nyingi tu zimeingia tarehe 24-25. Mara nyingi tarehe 22/23 ikiwa jumamosi basi salary ni tarehe 24/25. Acha kutulisha maneno, mama tunamkubali sana, hasa baada ya kuondoa ugaidi serikalini.
Ukiona mtumishi wa umma anammiss jiwe ujue ni unafiki tu, hizo tabia zipo sana mkoa wa Geita kwa sasa, watu bado wanaogopa kivuli cha marehemu. Kwingine sijui.