Watumishi wa umma wamkumbuka Rais Magufuli kuwa na hofu juu ya mishahara kucheleweshwa

Mama Samia Hoyee. CCM Hoyee, huyu mama ana akili nyingi! Amewanunua CHADEMA wote bila kutumia hela! Wapinzani wote wa Magufuli, sasa ni CCM wapya! CHADEMA wanademkana na CCM kujipendekeza kwa mama. Rais Samia hoyee
Chadema wakikosoa mnalalamika wanakosoa kila kitu, wakisifia nako mnalalamika wamenunuliwa. Cha ajabu ni kuwa ccm ndio mnaoonekana kumkosoa mama kwa vile masilahi yenu hayapo tena
 
Chadema wakikosoa mnalalamika wanakosoa kila kitu, wakisifia nako mnalalamika wamenunuliwa. Cha ajabu ni kuwa ccm ndio mnaoonekana kumkosoa mama kwa vile masilahi yenu hayapo tena
Hawa ni wale walokua wanajiita ccm mpya chini ya mzee polepole
 
Wewe fundi madirisha jaribu kujifunza kutengeneza majeneza ili siku za usoni ujtambulishe Kama fundi majeneza!
Acha unaa wako na huo uchonganishi wa kulazimisha hauna nafasi jf kwani imesheheni watu wa kila idara! Mishahara kwa wafanyakazi umetoka tangu Jana kwa baadhi ya idara za serikali na walio wengi wameziona asubuhi ya leo! Usiongope hapa labda unamdai mteja wako ndio akakuuzia uongo huu!
Mpe mh. Rais nafasi atakulipeni hata tarehe 15 ya kila mwezi ikimpendeza!
 
Ambacho kitu kikubwa Magufuli alikikosea kwenye maisha yake ni kuzuia upandishaji wa Madaraja na kutopandisha Mishahara Kwa miaka 6 aliokaa Madarakani. Pia kuongeza Makato ya loanboard kutoka 8% to 15% . Hili ni miongoni mwa big mistake s Magufuli made to civil servants
 
Usiwasemee watumishi wakati we si mmoja wao.
 
Kwani mwezi wa Tano umeshaisha?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mna Haha Mna Muhahooo Mtahaha Sana Ila Ndio Hivyo mama ndie amekalia kiti..zama zenu zimepita tulieni tulieni...
 
Amani na ujambazi!? Huna akili
 
Hakuna mtu anaweza kuwaza wala kukumbuka maumivu unless kwa kuomba na kusema asante Mungu kwa kutenda.!!
 
Quumaanyp.ko yako huyo fwala wako Nani amkumbuke???
 
Napita..ila nanusa harufu ya chuki kwa mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…