Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

Nimakosa sana kuendelea kufananisha zama hizi na zama zilizo pita.

Zama za awamu ya kwanza kamwe haziwezi kulingana na zama hizi za sasa, mambo mengi yamebadilika sana hivyo ni kosa sana kulinganisha au kutumia mawazo ya wakati ule kwa wakati huu tulio nao.

Nchi yetu inasadikiwa kwa sasa kuwa na watu zaidi ya milioni 50.....sensa itathibitisha hilo.

Kulizwa swali kuwa wewe dini yako ni jambo la kawaida sana maana tunaulizwa sana kila mahala na wala sio dhambi wala kosa.

hata ukitaka kuapishwa utaulizwa dini yako ili upewe biblia au msahf,

ukipewa pasiport kuna kipengele cha dini yako.

Cheti cha kuzaliwa kuna kipengele cha dini yako.

Hata mahakamani huwa watu wanaulizwa dini yako........n.k
 
Hivi taarifa za mzazi kwenye CV zinakazi gani?
 
Tujenge nchi yetu sisi sote kwa pamoja, tushirikiane kwa pamoja
 
Tatizo mumeona utamu unaenda kuwatoka sasa munaanza kubabaika,
Hakuna lolote uwoga tu,
Mulizoea kuonea sasa uadilifu unafanyika munababaika
Kila mmoja ajulikane ili twende sawa
 
Waliozoea kunufaika na mfumo kristo nawaona povu kama lote! Tulieni dawa iwaingie mafisadi nyie.
 
Jidanganye, sehemu nyingi suala la dini na kabila hujitokeza. Taasisi kubwa kabisa yenye kudai taarifa za dini ni elimu ya msingi na kuendelea, mgonjwa hospitali, ukikamatwa na polisi, mhimili wa bunge n.k.
Basi hayo yameanza hivi karibuni tu. Mimi niliulizwa dini wakati wa kuanza darasa la kwanza miaka ya sitini kwa vile kulikuwa na kipindi cha dini kwenye mtaala. baada ya hapo sijawahi kuu;lizwa dini yangu mahala popote nilipofanya kazi, iwe ni kwenye mashirika ya umma, serikalini hadi nilipoingia kwenye elimu ya juu. Kwanza sikuwa mfuasi wa dini, bali jina tu kwani kwenye ukoo wetu kuna mkusanyiko wa dini mbalimbali
 
Hiyo haina haja kwani \serikali ndiyo inazika.
 
Waliozoea kunufaika na mfumo kristo nawaona povu kama lote! Tulieni dawa iwaingie mafisadi nyie.
Fisadi mwenyewe mnataka kupendelena. Kazi zipatikane kwa Credit si kwa kabila wala dini. Period!
 
Una uhakika na unalolisema? Mimi nimeajiliwa mwaka 2008, kwenye fomu ya mikataba Kuna sehemu ya dini na kabila. Ukienda hospitali Kuna fomu inasehemu ya dini na kabila, mambo unayoongelea wewe ni kwenye sensa.
Kifupi hii takwimu sio ngeni
 
Fisadi mwenyewe mnataka kupendelena. Kazi zipatikane kwa Credit si kwa kabila wala dini. Period!
Imekula kwenu Wazee wa Mfumo Kristo. Mama hapendi dhulma haki bin haki. Tulieni dawa iwaingie.
 
Hapana siwazi hivyo. Nawaza hivi, kwanza nikuulize - je! Unajua kitu kinacho itwa affirmative action? Mimi sijui kiswahili chake. Tanzania tume wahi kufanya kitu hicho. Kilifanyika hivi : Mikoa au sehemu zilizo kuwa zime endelea kielimu, pass mark ya kuingia sekondary ilikuwa kubwa kuliko mikoa/sehemu zile ambazo elimu ilikuwa haijapewa kipaumbele. Mfano pass mark ya Bukoba ilikuwa juu kuliko ya Ngara au Mara. Ikapelekea hata kukuta mchaga au Mhaya anaitwa Wambura, Chacha, Ndimugwanko etc. Maana wasomi hao walihamia sehemu zenye pass mark za chini kwa mtihani uleule.
Mfano mwingine: Affirmative Action, inatumika South Africa kusudi kuwapa watu weusi nafasi ya kushiriki kujenga taifa. Affirmative kwenye elimu ya juu, ajira, biashara, scholarship etc. Na imesaidia sana. Mfano zaidi - kama wewe ni mtu mweusi, ni mwanamke na umetoka kwenye kabila zilizo achwa sana nyuma kimaendeleo (K.m Venda, Shangaani (Tsonga)) na una qualifications sawa na mzungu/mwanume/mwanamke kutoka makundi yaliyo endelea, utapewa kipaumbele wewe - provided other conditions are the same.
Sasa hapa Tanzania itakuwaje?
Ilianza kuwa - enzi za JPM (kumbuka kilio cha watu wa kasikazini! Taratibu hivyo hivyo baada ya miaka kadhaa uwiano kamili inapatikana.
 
Boss sio kweli mm wakati naanza ajira kuna kipengele kwenye mkataba wangu ajira za serikali kinauliza dini.Hili jambo sio jipya nashangaa kuona mleta mada analikuza kana kwamba limekuja leo.Au kwakuwa kwenye ajira za serikali ni mgeni.
Achana nae huyo, yeye ndiyo mdini na mkabila. Kwenye mikataba ya ajira hivyo vipengele vya dini na kabila vyote vipo
 
Mama anataka alitaka kutoa uteuzi awe na uhakika Kama ni mgalatia au kobazi. Akiona mgalatia anakupiga chini pia akiona weweni ni chogo anakupiga chini anataka wa makunduchi.

Nishahama mtaa maana najua mawe yanayokuja ni balaaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Je kujua kama mtu Ana ndoa au la serekali inataka kuchumbia watu. Wacha ikusanye taarifa zote hakuna tatizo.
Nchi nyingi zinakusanya hizo taarifa wala hazijawahi kuleta machafuko popote. Unless kuna ubaguzi unataka kufichwa.
 
Ina maana watu makazini hawajuani dini zao? Kujua dini ya mwenzako mbona ni rahisi Sana hususani ukiwa unafanya nae kazi sehemu moja!!? Hivi ninyi mpo tanzania hiihii? Watu tunafanya kazi pamoja tunajuana dini mpaka makabila, unaweza ukawa na rafiki wa dini tofauti na wewe ukawaacha wa dini na kabila lako mbona kawaida Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…