Hiyo ilikuwa zamani sana ikafutwa baadayeBoss sio kweli mm wakati naanza ajira kuna kipengele kwenye mkataba wangu ajira za serikali kinauliza dini.Hili jambo sio jipya nashangaa kuona mleta mada analikuza kana kwamba limekuja leo.Au kwakuwa kwenye ajira za serikali ni mgeni.
Mahabusu in mhalifu anabidi ajulikane kwa undaniMbona uliingia MAHABUSU unaulizwa hayo maswali tatizo lipo wapi?
Bado hakuna justification yoyote hapo. Kuna mambo ni ya kitaifa au ya kibinaadamu zaidi kuliko ki kabila. Hicho mnachoita "tabia za kikabila" ni matokeo ya kimazingira zaidi na wala siyo genes hivyo huathiriwa zaidi na mazingira anayoishi kuliko kabila lake. Haya ni miongoni mwa masalia ya ukoloni kama yale ya binaadam alikuwa nyani. Hizi ni sawa na stori za kuamini eti kuna makabila ni malaya kuliko mengine: siyo kweli.Kipolisi nadhani kuulizwa kuhusu kabila kuna justification.
Kichuguu,Kwenye rekodi za serikali huwa hakuna dini wala kabila la mtu. Nyerere aliondoa hiyo zamani sana wakati taifa bado ni changa, na hata marais waislamu Mwinyi na Kikwete hawakuirudisha. Sasa tumepata mwislamu kamili ndiye anayeyaleta. Katika teuzi wake naona kipengele cha dini kimekuwa ni cha muhimu sana kwake; na ili kukihalalisha ndiyo maana ameunganisha na ukabila akianzia na kurudisha uchifu.
View attachment 2095774
Eh! Vilaza tena?Kama ndio hivi hatuna rais hapa..haya masuala ya ukabila na udini..hayana maana..uwiano apeleke huko mchamba wima.
Mind you katika dunia hii superiority huwezi ikwepa ndani ya jamii...mana kuna wajanja na vilaza tu hata ufanyeje.
#MaendeleoHayanaChama
Mahabusu in mhalifu anabidi ajulikane kwa undani
Napata taabu kuamini kama hili suala ni kweli, na kama ni kweli basi aliye-propose na kulipitisha wote ni viumbe wapumbavu kupita maelezo! Na kama SSH analifahamu hili, na anaacha liendelee, basi nitamdharau sana kwa sababu ni jambo ambalo haliwezi kuwa justified kwa tafsiri yoyote ile!!Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Jiwe...Kama ndio hivi hatuna rais hapa..haya masuala ya ukabila na udini..hayana maana..uwiano apeleke huko mchamba wima.
Mind you katika dunia hii superiority huwezi ikwepa ndani ya jamii...mana kuna wajanja na vilaza tu hata ufanyeje.
#MaendeleoHayanaChama
"Hii itategemea na jinsi Mahakama itakavyopima"Bado hakuna justification yoyote hapo. Kuna mambo ni ya kitaifa au ya kibinaadamu zaidi kuliko keep kabila. Hicho mnachoita "tabia za kikabila" ni matokeo ya kimazingira zaidi na wala siyo genes hivyo huathiriwa zaidi na mazingira anayoishi kuliko kabila lake. Haya ni miongoni mwa masalia ya ukoloni kama yale ya binaadam alikuwa nyani. Hizi ni sawa na stori za kuamini eti kuna makabila ni malaya kuliko mengine: siyo kweli. Much as satisfaction level au sababu za sex almost sawa, ni mazingira tu aliyoishi mtu ndiyo hutoa tafsiri ya jambo flani litendeke vipi au alipe value gani kiasi mtu huyo akiishi mazingira mengine tabia hiyo hubadilika. Infact, kuendelea kuwepo kwa vijitabia vya hovyo vinavyonasibishwa na ukabila ni matokeo ya elimu mbovu inayoshindwa kuleta "convergence" kwenye hayo mambo ya msingi. Mhehe aliyezaliwa au aliyeishi na kusomea Texas definitely hatakuwa sawa na mhehe aliyeishi huko Mufindi. Then essence ya kabila kwenye tabia inatoka wapi hapa!
Mfano mwingine, jamii inamuona mmasai kama ni mtu mshamba, duni, anayefaa kuishi porini tu na mifugo yake. Is that true? Je hakuna wanadai wengine ambao kwa kupata Elimu, au exposure au kuishi na jamii/ mazingira mengine wamekuwa tofauti na mfumo wa asili waliouzoea.
Ukabila ni jambo ambalo halina afya yoyote na popote kwenye society ya Tamzania au jamii iliyostaarabika.
Hiyo statement na maelezo yote ya chini yanazidi kubainisha kuwa kabila is no longer and shouldn't be a means to determine a ruling in any dimensions. Niliuelewa vizuri na given nilipo nimeamka masaa mengi sana yaliyopita. Kimsingi hiyo statement haina msingi wowote wa kutetea swali la kutaka kujua kabila la mtu katika mfumo wa kufanya maamuzi (mahakamani) kwa sababu nilizoeleza. Kama inafanyika ni kutokana na udhaifu wetu wa mifumo ya haki, uchumi, Siasa na uongozi. Period."Hii itategemea na jinsi Mahakama itakavyopima"
Mkuu, hujaona hiyo phrase hapo juu kwenye comment yangu? Sasa mbona umetokwa na povu namna hii? Ngoja ni-assume hukuielewa.
Ingawa ni asubuhi ila tujifunze kusoma comments kwa utulivu. Iko hivi, Kabila la mtu siyo absolute determinant ya maamuzi ya Mahakama, ndiyo maana nikasema kuna wakati unaweza kuwa wa kabila linalo-attract maamuzi fulani Kimahakama lakini bado Mahakama ikaamua kinyume chake.
Naomba kubakia.
Haya si wangeyapata NIDA...ama wasubiri kwenye sensa ya watu na makazi wangejua mambo ya dini na ukabila.Habari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mbona hizi taarifa za dini na kabila hazijaanza leo, labda kama ww ndio umeanza kuziona awamu hii ya sita ila toka muda ukienda polisi au hosipital walikua wanauliza kabila na dini yakoHabari wana JF ..
Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii.
Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie hili Taifa.
Wengine bado tunataka kuliona Taifa letu likiwa moja.
Vyombo vya usalama, basi mshaurini mheshimiwa Rais vizuri, msijisahau sana mkaiacha nchi kwenye auto-pilot.
Niwakumbusheni Taifa hili halikujengwa kwa matofali, la hasha!
Mpitisheni Mh. Rais katika historia ndogo ndogo zile njema, zilizotufanya Watanzania japo tukawa wamoja, potelea pote na umaskini wetu.
Sasa hamuwezi amini, leo hii Hazina inaomba taarifa za watumishi (CV), na miongoni mwa taarifa wanazotakiwa kujaza hao watumishi ni:-
1. Kabila lako .....
2. Dini yako .......
Zipo taarifa zingine, za kipuuzi zinazoombwa, ila haina haja sana kuzitaja, kwani hazina athari sana kama hizi mbili.
Hivi kweli, leo mnataka DINI ya mtumishi, iwasaidie nini?
Hii taarifa mnaitumia kuboresha nini?
Udini wa nini katika Tz ya leo.
Tuna ajenda gani na Dini za watu, (watumishi). DINI, DINI.....DINI...!!!!?....,leo tunauliza DINI yako ni ipi? Kweli mh. Rais Samia.
Halafu mnataka na KABILA, kabila la mtumishi litumike kuboresha nini?
Mna ajenda gani huko?
KABILA, leo mnamuuliza mtu KABILA... Kweli mh Rais Samia , ulisema wewe huna kabila, sijui ni Mzanzibar, sasa hawa watumishi, karne ya 21, mwaka 2022, wawajazie makabila yao, muyajue, myafanyie nini?!
Mh Rais Samia, hebu kataa mambo mengine.
Siku Taifa hili likiparaganyika mikononi mwako, hao unaowaona, watakukataa.
Mfumo wa CV (format) na taarifa zinazotakiwa nimeambatanisha hapa.
denooJ , MTAZAMO , barafu , Tindo , Chige , shige2 , Malcolm X5 , MALCOM LUMUMBA ,
View attachment 2095758